Huyu Baba wetu wa Kiroho nimeanza kumkatia tamaa. Ana ahadi za Uongo. Alidai kanunua vichwa vya treni ya Mwendo kazi kwa Matumizi ya Tanzania, akadai ataleta bodi za Uvuvi na kuwapeleka Vijana wa Jimbo la Kawe Marekani na Japan kubadilishana Uzoefu.
Tutachambua moja moja ila leo tujikite kwenye ahadi yake ya Umeme.
Mwaka 2017 Askofu Gwajima ambaye sasa ni Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar, alidai kapata umeme wa Megawati 250 kutoka Ujerumani.
Kwa Sasa Tanzania ina na upungufu wa umeme kwa megawati 190, Walijua Gwajima atawapa Megawati 250 kama alivyowahakikishia lakini walipomuuliza umeme wako mbona haufiki hana majibu yanayoeleweka matokeo yake Mgao umezidi.
Mara ya kwanza alidai Serikali imhakikishie kununua Umeme wake hivyo Serikali ikamuweka kwenye mipango ya kuleta Megawati 250. Sasa Mgao umezidi naye yupo kimya kama hajui yeye ndo kasababisha.
Hapa chini namnukuu Askofu Gwajima.
"Nimepata Umeme Megawati 250 kutoka Ujerumani kwa ajili ya Taifa letu katika juhudi za kuunga mkono Tanzania ya Viwanda. Nilimtuma Engineer Mkuu wa Ufufuo na Uzima Duniani Eng.Yeconia Bihagaze huko Ujerumani kufanya ufuatiliaji, Umeme huu ni kwa ajili ya Watanzania wote na ujenzi wa uchumi imara wa Tanzania ya Viwanda" - Mchungaji Gwajima
KKwanini anaharibu Mipango kazi ya Serikali? Si angekaa kimya Serikali ijipange kivyake.
Msikilize hapa Eng.Yeconia Bihagaze wa Kanisa la Gwajima la Ufufuo na Uzima alivyokuwa anampanga rais Magufuli jinsi Mtambo wa Gwajima utakavyo zalisha Megawati 250π€£π€£.
Akamuhadaa rais Magufuli ampe ubunge ili ahadi ya Umeme itillmie, ubunge akapewa ndo maana jimbo. Ndo maana jimbo la Kawe, wapiga kura walizidi waliojiandikisha.. Ili Mdee atoke aingii Gwajima atakaye leta umeme.

Nashangaa wa-TZ, yaani uliliamini hili dubwana, mkuu ulipotea, aliwaapia kwa Mungu hahitaji cheo chochote cha kidunia kwani uaskofu ni cheo kikubwa mno, waumini wake wakashangilia mno, kwa zaidi ya masaa mawili, baadae kagombea tena ubunge kashinda kwa wizi wa kura, sijui aliwaambia nini mazuzu wake wakamsahangilia kwa zaidi ya masaa matatu, huyu anacheza na akili za wa-TZ.. lakini siku moja ataumbuka vibaya...... alishaahidi treni ya umeme, labda atuletee ya kutumia uji wa muhogo kama kijigari cha LODI LOFA.... (wazee hukumbuka)