Sasa hawa COVID-19, bunge likiisha watahamishiwa wapi?Huenda ni furaha kwake na huenda hao 19 walichaguliwa waingie kwenye mtego iwe mwisho wao baada ya kuona wanasumbua majimboni, hawakujitambua au waliamua. kwa maamuzi ya sasa ya chadema mana yake majimbo yao yote waliyopanga kugombea hawataonekana kamwe maana yake nguvu imepoozwa majimb hayana wenye ushawishi mkubwa tena.
Sasa hawa COVID-19, bunge likiisha watahamishiwa wapi?
Hawana maamuzi hao, pesa ilipo wapowatahamishiwa au watahamia maana maamuzi ni yao
TLPSasa hawa COVID-19, bunge likiisha watahamishiwa wapi?
Mpaka ameota mapembeNawapongeza chadema kwa kuwatimua wasaliti.Halima amekuwa mbunge kwa awamu tatu mfululizo, awaachie na wengine wajaribu
Wataolewa tuSasa hawa COVID-19, bunge likiisha watahamishiwa wapi?