Askofu Gwajima amefurahia jimbo baada ya kusikia Halima Mdee hawezi tena kugomba

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Huenda ni furaha kwake na huenda hao 19 walichaguliwa waingie kwenye mtego iwe mwisho wao baada ya kuona wanasumbua majimboni, hawakujitambua au waliamua. kwa maamuzi ya sasa ya chadema mana yake majimbo yao yote waliyopanga kugombea hawataonekana kamwe maana yake nguvu imepoozwa majimb hayana wenye ushawishi mkubwa tena.
 
Sasa hawa COVID-19, bunge likiisha watahamishiwa wapi?
 
Nawapongeza chadema kwa kuwatimua wasaliti.Halima amekuwa mbunge kwa awamu tatu mfululizo, awaachie na wengine wajaribu
 
Back
Top Bottom