johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amesema yuko tayari kwa chochote isipokuwa kifo tu.Matokeo ya kamati hayo,
Watoto wa mjini tunasema kamati imejibu.
Ukijua matendo ya mwendazake yalivyokuwa mpaka watu wakashangilia baada ya kupata habari zake za kwendakuzimu, basi utajua sababu za watu kushangilia pindi mtu/kundi flani linapopata madhira.Wanaofurahia wana sababu zao. Watawaza wasiwabeze bali wajiulize kwanini watu wanaofurahia police kuuawa.
Tunataka Rashid Gwajima atuambie lini anaenda kuchomkewa chanjoAskofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.
Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema
Chanzo: Rudisha tb!
CCM = Chama Cha MAGAIDIHata yeye anayekataa watu wasichanjwe ni gaidi, tena kwa maneno yake anaweza kuua wengi zaidi watakaofuata ushauri wake, alidanganya anaweza kufufua watu kumbe hawezi, watu wakiugua na kufa kwa Corona anatakiwa kuwa responsible.
Kumpa pole Samia bila kufuata msimamo wa serikali anayoiongoza na Gwajima akiwa kama mshirika ni sawa na unafiki.
Ameshindwa kutoa pole kwa kifo cha kada Hamza au kwa vile ni Muislam? Mbaguzi sana huyu ChidboyAskofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.
Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema
Chanzo: Rudisha tb!
Kumbe wakati mwingine ana akili .Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.
Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema
Chanzo: Rudisha tb!
Huyu nae apuuzwe tu, Hana jipya tena,Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.
Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema
Chanzo: Rudisha tb!
Sisi tunampa gwajima pole kwakumpoteza mwanachama mwenzake wa ccm kwa kuuawa na polisiAskofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.
Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema
Chanzo: Rudisha tb!
Ukiipata video ya alichoongea leo, itapendeza ukiipandisha kwenye huu Uzi!Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.
Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema
Chanzo: Rudisha tb!
Kwa hiyo mmembinafsishia haki ya kuogopa kifo siyo?Lissu mlimpiga risasi katika jaribio la kutaka kumuua ndio maana anaogopa magaidi wa ccm sasa huyu Askofu Rashidi naye anaogopa nini? au sindano za sumu? kama Mangula au Kolimba ?
Gwajima hajawahi kataa watu wasichanjwe! Tatizo mnatumika mno hadi mnachefua. Msifikiri kujaza comments za matusi na kubeza JF ndiyo ushindi! Mmmeshindwa kujifunza kipindi cha Magufuli? Aliwaachia mtukane matusi na kupika story za uongo, lakini alijua watanzania wanataka nini na mwisho wa siku aliongoza kwenye uchaguzi.Hata yeye anayekataa watu wasichanjwe ni gaidi, tena kwa maneno yake anaweza kuua wengi zaidi watakaofuata ushauri wake, alidanganya anaweza kufufua watu kumbe hawezi, watu wakiugua na kufa kwa Corona anatakiwa kuwa responsible.
Kumpa pole Samia bila kufuata msimamo wa serikali anayoiongoza na Gwajima akiwa kama mshirika ni sawa na unafiki.