Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

Gwajima mpuuzi tu Kama wapuuzi wengine ..form four karudia mitihani Mara tatu kupata credits ..mjinga tu Hana upako Wala mavi
 
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
Ameshindwa kuwafufua ?
 
Back
Top Bottom