Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshindwa kuwafufua ?Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.
Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema
Chanzo: Rudisha tb!