MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Anaitwa Askofu Gwajima ingawa sijui aliyempa hicho cheo ni nani maana matendo yake hayaendani. Alisema hawezi kuwa mbunge wala waziri maana ni vyeo vidogo kuliko kazi yake lakini ubunge wake kwa njia alioupata hata wanaccm tunajua. Amezidi kujilisha na kujipendekeza mno bwana utafikiri hamjui Mungu.
Huyu Gwajima si ndio kuna wakati jamii ilimkera kwa kujawa na Udini kwa kutukana na kukashifu imani ziingine? Huyu leo umpe uwaziri sio ndio atazidi kuingiza Udini kwenye mifumo ya serikali na kuibua minong'ono mingi kwenye jamii? Si ajabu akaja hata kuanza kumpinga mama na asimsikilize. Huyu ndugu yetu anajipendekeza mno hata kama ni kwa kusema uongo ili miradi afikie malengo yake.
Si ndio huyu huyu Gwajima alionywa kubwa kuendekeza ukabila mpaka hata mamlaka zimamkanya asirudie tena? Yaani unajiita kiongozi wa kanisa unaunda Vikindu unahubiri ukabila? Yaani unakuwa kipaumbele kugharamia vikundi kuhubiri ukabila?
Mama yangu Rais Samia na chama changu CCM tuchunge huyu ndugu yetu tusije tukapotea kabisa.
Tumekua tukishauri sana humu ikiwa ni kumuomba Mhe Rais na chama kwa ujumla kuunganisha maoni yetu wanaccm tusiosubiri vikao kwamba hili ni baya na lile ni jema walifuata.
Kwa unyenyekevu wa Mama na Chama chetu tunaamini haya pia wanayatumia sawa sawa