Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
TutakuwepoAskofu Gwajima kushiriki ibada kesho Desemba 7, 2025 kanisa la ufufuo na uzima lililopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
Itakuwa ni ibada ya pili kufanyika tangu kanisa hilo kufunguliwa ambapo Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa tangazo rasmi la kuruhusu waumini wa kanisa hilo kuendelea na shughuli zao, ikiwa ni baada ya kufungiwa Juni 2, 2025 na ibada ya kwanza ilifanyika Novemba 30, 2025
Soma pia Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo na Uzima
Mkuu sio gwajima, unless hujui sababu za kuliifungua kanisa,ni hofu ya maandamano, gwajima atarusha mawe mengi sana kwao,jiandae,hakika simu iko full na bando la kutoshaAtamshukuru mama kwa kulifungulia kanisa lake kama Nifa?
Yeye mwenyewe ni jasusi la mbinguni kaiweka hiyo ili kumsoma adui yakeMshaurini Gwaj asiharakie kutoka mafichoni!
Mkuu natumaini iwe hivyo ila nina wasi wasi tu isije akabadili giaMkuu sio gwajima, unless hujui sababu za kuliifungua kanisa,ni hofu ya maandamano, gwajima atarusha mawe mengi sana kwao,jiandae,hakika simu iko full na bando la kutosha
Pole sana mkuu, Gwajima yuko well informed, unadhani why tarehe 07 nasio kabla!?Kama ni kweli
basi itakuwa ni wrong move kwake atajikamatisha kiboya sana!
Askofu Gwajima kushiriki ibada kesho Desemba 7, 2025 kanisa la ufufuo na uzima lililopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
Itakuwa ni ibada ya pili kufanyika tangu kanisa hilo kufunguliwa ambapo Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa tangazo rasmi la kuruhusu waumini wa kanisa hilo kuendelea na shughuli zao, ikiwa ni baada ya kufungiwa Juni 2, 2025 na ibada ya kwanza ilifanyika Novemba 30, 2025
Soma pia Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo
Expect the unexpectedAskofu Gwajima kushiriki ibada kesho Desemba 7, 2025 kanisa la ufufuo na uzima lililopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
Itakuwa ni ibada ya pili kufanyika tangu kanisa hilo kufunguliwa ambapo Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa tangazo rasmi la kuruhusu waumini wa kanisa hilo kuendelea na shughuli zao, ikiwa ni baada ya kufungiwa Juni 2, 2025 na ibada ya kwanza ilifanyika Novemba 30, 2025
Soma pia Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo na Uzima
View attachment 3512082