Sio kweliSijui kwanini lakini nahisi atatudisapoint 🥹
Nahisi hivyo piaMkuu sio gwajima, unless hujui sababu za kuliifungua kanisa,ni hofu ya maandamano, gwajima atarusha mawe mengi sana kwao,jiandae,hakika simu iko full na bando la kutosha
Shida sio kuwa informedPole sana mkuu, Gwajima yuko well informed, unadhani why tarehe 07 nasio kabla!?
Maandalizi ya D9
Mkuu elewa neno well informed and strategically staged,no matter how,Kila kitu kitakuwa sawa.Kama kawaida yake anawapa hope then anaenda mafichoni
Anawaacha watu wanauawa tu
Na mimi naona hivyo hivyoKama ni kweli
basi itakuwa ni wrong move kwake atajikamatisha kiboya sana!
Mchicha badala ya kuongezwa chumvi umeongezwa mchangaMkuu elewa neno well informed and strategically staged,no matter how,Kila kitu kitakuwa sawa.
Amini hivyo mkuu, usihofu
Ndiyo maana Gentamcyni...ameibuka na kutamba Leo kuwa wamemaliza kazi....!!!Atamshukuru mama kwa kulifungulia kanisa lake kama Nifa?
😂😂😀😀😀 ...jaman simu zetu zinapata moto ..kila baada ya dakika 30 Kuna habari