Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge walipanga kumuua kwa kumuwekea 'misumari' kwenye kiti na kipaza sauti lakini akaokolewa na 'kitu' kilichopo ndani ya mwili wake. Askofu huyo ameyasema hayo leo wakati akiwahubiria neno la Mungu waumini wake kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima. Hebu msikilize mwenyewe hapo chini:
Your browser is not able to display this video.
Maoni yangu
Namshangaa sana askofu kwa kuwatuhumu kamati ya Bunge bila ushahidi wowote wa kiukweli au kimazingira. Hivi kweli serikali ikitaka kumuua mtu itashindwa? Mbona wengi na hawakuweza kufua dafu? Tuache kuipakazia serikali mambo ya ajabu. Tuiache serikali ifanye kazi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.
Ata wewe mwenyewe jifunze kitu kimoja "trust no one" kisa tuu ni serikali au bunge ndo kusiwe na mamafia yenye nia mbaya!!!
Ushahidi utakuwa na kazi gani pindi umeshaumia!?
Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge walipanga kumuua kwa kumuwekea 'misumari' kwenye kiti na kipaza sauti lakini akaokolewa na 'kitu' kilichopo ndani ya mwili wake. Askofu huyo ameyasema hayo leo wakati akiwahubiria neno la Mungu waumini wake kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima. Hebu msikilize mwenyewe hapo chini:
View attachment 1917121 Maoni yangu

Mpumbavu na tapeli huyu anatafuta vyote. Kwanini mnaliita tapeli askofu wakati ni tapeli la kawaida lenye roho mtakakitu? Kwa anayesikiliza utumbo wake unajua fika alivyo mtupu kihiyo kabisa japo anajifanya ana elimu ya PhD.
Ata wewe mwenyewe jifunze kitu kimoja "trust no one" kisa tuu ni serikali au bunge ndo kusiwe na mamafia yenye nia mbaya!!!
Ushahidi utakuwa na kazi gani pindi umeshaumia!?
Moppumbavu na tapeli huyu anatafuta vyote. Kwanini mnaliita tapeli askofu wakati ni tapeli la kawaida lenye roho mtakakitu? Kwa anayesikiliza utumbo wake unajua fika alivyo mtupu kihiyo kabisa japo anajifanya ana elimu ya PhD.
Mpumbavu na tapeli huyu hajawekewa chochote. Sikumbuki kuonyesha au kueleza hicho alichokuwa amewekewa zaidi ya kujishaua ili kutafuta huruma kirahisi.
Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge walipanga kumuua kwa kumuwekea 'misumari' kwenye kiti na kipaza sauti lakini akaokolewa na 'kitu' kilichopo ndani ya mwili wake. Askofu huyo ameyasema hayo leo wakati akiwahubiria neno la Mungu waumini wake kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima. Hebu msikilize mwenyewe hapo chini:
View attachment 1917121 Maoni yangu
Namshangaa sana askofu kwa kuwatuhumu kamati ya Bunge bila ushahidi wowote wa kiukweli au kimazingira. Hivi kweli serikali ikitaka kumuua mtu itashindwa? Mbona wengi na hawakuweza kufua dafu? Tuache kuipakazia serikali mambo ya ajabu. Tuiache serikali ifanye kazi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.
Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge walipanga kumuua kwa kumuwekea 'misumari' kwenye kiti na kipaza sauti lakini akaokolewa na 'kitu' kilichopo ndani ya mwili wake. Askofu huyo ameyasema hayo leo wakati akiwahubiria neno la Mungu waumini wake kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima. Hebu msikilize mwenyewe hapo chini:
View attachment 1917121 Maoni yangu
Namshangaa sana askofu kwa kuwatuhumu kamati ya Bunge bila ushahidi wowote wa kiukweli au kimazingira. Hivi kweli serikali ikitaka kumuua mtu itashindwa? Mbona wengi na hawakuweza kufua dafu? Tuache kuipakazia serikali mambo ya ajabu. Tuiache serikali ifanye kazi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.
Nadhani leo Gwaji boy amepata kile alichokuwa akikitafuta kwa muda mrefu sana hapa nchini Tanznia. Haiwezekani kila siku awe anapotosha umma wa watanzania halafu tukamuacha aendelee na ujinga wake pasipo kuchukuliwa hatua. Kama kweli ni mwanaume, basi na Jumapili hii aende akawapotoshe waumini wake kama alivyozoea. Mpuuzi mkubwa!