PreGE2025 Askofu Gwajima asema Kanisa la Mungu halijafungwa, tupuuze uzushi wa mitandaoni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Watu aminaaaaaaaaaaa

Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Askofu Gwajima ameendelea na mahubiri kwenye kanisa hilo licha ya kusambaa barua ya kufungiwa. Gwajima amesema hakuna wa kufunga kanisa la Mungu duniani.

Gwajima: Nafikiri umeona kwenye mtandao watu wanapitisha karatasi kwamba kanisa la ufufuo na uzima limefungwa, hakuna wa kufunga kanisa la Mungu duniani.

Soma Pia: Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi

Si kweli, ni uongo. Ni wahuni, hao ni wahuni kale kakikundi kanakoteka watu. Barua hiyo sio ya Serikali, Serikali haiwezi kufanya hivyo. Serikali yetu ni nzuri haifanyagi mambo kama hayo, ni vile vikundi vya wale wahuni, vile vikundi vinavyoteka watu ndio vinasambaza mambo ya namna hiyo

YESU alikufa Msalabani Kwa ajili ya Wanyonge !!

Your browser is not able to display this video.
 
​
 
Gwajima yuko live akiendesha ibada kwenye kanisa lake, amesema barua ile haijatoka serikalini bali kwa kikundi cha wahuni.

Asema serikali haiwezi kufanya hivyo, bali ni kile kikundi cha wahuni wenye nia ya kuvuruga mambo.

Kwahiyo barua ya kufungiwa kanisa ni ya kweli ama laaah?
 
Ni kikundi cha chawa na kiongozi wao ni Lucas Mwashambwa
 
Kweli kabisa ndo maana wakaandika ijp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…