PreGE2025 Askofu Gwajima asema Kanisa la Mungu halijafungwa, tupuuze uzushi wa mitandaoni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanapakwa mafuta kwa mgogo wa chupa
Gwajima usianze kuwa Mwoga. Serikali ni Samia and Samia alone! Katiba yetu inampa Rais Kuwa yeye ndiye serikali!saas unaposema serikai yetu ni safi una mana gani? Umeanza kuog
 
Gwajima bado tuko na wewe, rufaa yako inaenda kwa Waziri. Sasa tuone kama mteule wa unayemtukana atakuchekea. Karibu sana tukuhenyeshe
 
Anachokifanya anakijua
Anachokitaka anakijua
Alichotakiwa kukifanya anakijua

Anachotegemea kukipata ndio shughuli ipo hapo sasa😎😎😎
 
Gwajima bado tuko na wewe, rufaa yako inaenda kwa Waziri. Sasa tuone kama mteule wa unayemtukana atakuchekea. Karibu sana tukuhenyeshe
Siyo kosa lako! Kwakuwa nawe unaamini kwamba hata SAMIA SULUHU HASSAN NAYE ana PhD?
Ona unavyopuyanga na taarabu humu
 
Wewe umhenyeshe kama nani? Mko JF hapa kudanganya danganya watu kuwa mna mamlaka fulani, au ni watu wa mfumo. Ni takataka tupu, za kusubiria viposho kwenye korido za mafisadi ccm. Mnakuja kujitutumua humu.
 
Hiyo barua ni fake Wadau. Tuache ku exaggerate mambo.
 
Wewe umhenyeshe kama nani? Mko JF hapa kudanganya danganya watu kuwa mna mamlaka fulani, au ni watu wa mfumo. Ni takataka tupu, za kusubiria viposho kwenye korido za mafisadi ccm. Mnakuja kujitutumua humu.
Unalia nini?
 
Mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa..
 
Gwajima bado tuko na wewe, rufaa yako inaenda kwa Waziri. Sasa tuone kama mteule wa unayemtukana atakuchekea. Karibu sana tukuhenyeshe
Ukisikia mtu ana roho mbaya, ni kama wewe. Unafurahia mtu ambaye innocent akipata matatizo mfano Ali Kibao.
 
Back
Top Bottom