PreGE2025 Askofu Gwajima asema Kanisa la Mungu halijafungwa, tupuuze uzushi wa mitandaoni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima usianze kuwa Mwoga. Serikali ni Samia and Samia alone! Katiba yetu inampa Rais Kuwa yeye ndiye serikali!saas unaposema serikai yetu ni safi una mana gani? Umeanza kuogopa?
 
Kama hiyo barua sio ya KWELI kuna uwezekano mkubwa Gwajiboy mwenyewe kaitengeneza ili kama Mama anampango huo aone reaction ilivyo iwapo atafungia

Gwajiboy sio mjinga mjinga
 
Mjomba mbona kama anang’ata na kupuriza
 
ngwajima mbona kanywea tena ghafla
 
Hatimaye nimeelewa kumbe mchezo huu wanacheza CCM, timing ya haya mambo ya Gwajima so far ni kubeat progress ya saga la Lissu ..ni spinning strategy. Leo tarehe 2/06 yametokea matukio mawili at once, la rulingi ya mahakama kwa Lissu na ishu ya Kanisa la Gwaji. The latter seeks to depopulalize the former one. Kama ni kudanganya wawadanganye wajinga size zao na si akina sie
 
18 “Nami nakuambia, wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata nguvu za kuzimu haziwezi kulishinda. 19 Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni na lo lo te utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni na lo lote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”
Soma Mathayo 16 18
 
Rudishaaaaaaaaaaaaa......paaaaaap mtu katokea kwenye kona
 

View: https://youtu.be/R8wAGlt-ZQo?si=4ClHs8grjQOspUbvNadhani ni kweli, hawa ni wahuni walewale watekaji na wauaji wanatapatapa sasa kujaribu kujisafisha..

Kwa viongozi wenye hekima na busara, hata kama wangekuwa wanafikiria kuchukua maamuzi ya kilifutia usajili kanisa la GCC au KANISA LA UFUFUO NA UZIMA, basi isingekuwa sasa wakati mzozo wa utekaji na kuuwawa kwa raia wasio na hatia na kikundi cha watu wasiojulikana ukiendelea..

Katika video hiyo, Askofu Gwajima akifaganua kuhusu barua hiyo ya kumfungia na kukanusha kuwa SI KWELI ni watekaji walewale ndo wanasambaza uhuni huo...!
 
Kanisa haliwezi kufungwa jamani tuongee vitu vya kweli let us be smart people,tusikirupuke kama CCM wafanyavyo.
 
Hakika na ni kweli watekaji wanatapatapa wanaungua kwa moto mkali kabisa.Tuwaombee.
 
vile vikundi vinavyoteka watu ndio vinasambaza mambo ya namna hiyo
Akiwemo anayevinyamazia
Ipo siku vitamvaa mwenyewe maana amevipa mamlaka kubwa mno
 
Huyu Jamaa anakoelekea anaenda chazea mkong'oto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…