Ma CCM yakishakula na kushibaaa wanaishiaa kubwabwajaaa madam ,Wewe umhenyeshe kama nani? Mko JF hapa kudanganya danganya watu kuwa mna mamlaka fulani, au ni watu wa mfumo. Ni takataka tupu, za kusubiria viposho kwenye korido za mafisadi ccm. Mnakuja kujitutumua humu.
Kuna mahali nimesema ametukana?Gwajima amemtukana nani?
Kuteka na kuua ni sera ya CCM? maana alicho ongea wala hakina madhara kwa taifaGwajima bado tuko na wewe, rufaa yako inaenda kwa Waziri. Sasa tuone kama mteule wa unayemtukana atakuchekea. Karibu sana tukuhenyeshe
Kumbe inspekta ni kiswahili,mimi nilidhani kiswahili ni mkaguzi.Kiswahili ni Inspekta Jenerali wa Polisi (IJP)
Tufiki pahala tukubali waoga waingie ndani wajifungie,wawaache majasiri waendelee kuwatetea.Huyu Jamaa anakoelekea anaenda chazea mkong'oto
Usikute walitaka kupima upepo wa wananji 🤣🤣Wanatuchanganya sasaView attachment 3353846View attachment 3353847
Kwanza hilo eneo ni la kujenga shule, atoe mabati yake ya kuokoteza
Usikute walitaka kupima upepo wa wananji 🤣🤣
Akisaidiana na TlaatlaahNi kikundi cha chawa na kiongozi wao ni Lucas Mwashambwa
Haswaaaaaaa.Kanisa gani hilo lililofungiwa, mbona tupo ibadani leo tena live mubashara. Tufatilie kwa ukaribu
Mnajisahau sanaGwajima bado tuko na wewe, rufaa yako inaenda kwa Waziri. Sasa tuone kama mteule wa unayemtukana atakuchekea. Karibu sana tukuhenyeshe
Hivi mwandishi wa ile barua ni mtumishi wa umma au? Hivi ukisema Nakala kwa Bwana IJP wambula ni maana yake? Naona kama ni barua ya maongezi ya watu wafuataoGwajima bado tuko na wewe, rufaa yako inaenda kwa Waziri. Sasa tuone kama mteule wa unayemtukana atakuchekea. Karibu sana tukuhenyeshe