Askofu Gwajima ashindwa kutoa ushahidi wa tuhuma zake dhidi ya chanjo

Hakua na ushahidi ndiyomaana akafariki kwa korona.
Hakufa kwa uviko acha uongo. Alifia uzalendo ndiyo maana kila anayedharau legacy yake anaishia pabaya. Note wale wote waliomshutumu Dkt Magufuli watakuwa wapi in 10 years. Watakuwa na hali mbaya sana.
 
Covid hatari sana ilianza na kijazi ikamalizia na ilivyomalizia.

Kaa kijanja comrade usipumbazwe na maneno ya kinjekitile ili yasikukute ya marehemu pombe.
 
Kamati imefanya kazi yake vizuri. Pongezi kwao
 
Huyo tapeli na mzinzi gwajima nafikiri ifike mahali atafutiwe mwanaume amrande atulie
 
Hakufa kwa uviko acha uongo. Alifia uzalendo ndiyo maana kila anayedharau legacy yake anaishia pabaya. Note wale wote waliomshutumu Dkt Magufuli watakuwa wapi in 10 years. Watakuwa na hali mbaya sana.
alitafuta kiki dhidi ya korona ikamfyeka
 
Sasa kutohudhuria mikutano miwili ndio adhabu ya kukalisha wabunge wote hao na kulipana maposho ya kodi zetu?
 
Walipashwa wawape muda nao wajitetee hadharani kama ambavyo wamesimangwa hadharani.

Bunge dhaifu na oga. Kama tunaamua kuwa watenda haki basi haki hiyo ionekane kwa wote.
gwajima kila jumapili anajitetea hadharani pale ufufuo na uzima
 
Adhabu nyepesi sana, kiufupi Gwajboy aliwapiga K.O dakika za mwanzo kabisa!
Chama hakitaweza kumwajibisha kitakuja na porojo tu...
 
Wao kamati ni wapi wamethibitisha kuhusu usalama wa chanjo ili twende sawa......
 
Leo alisema ana Kikao Zoom na DG wa PFizer na wa MRNA awaulize kuhusu Chanjo zao. Alisema atatoa Link tumsikilize akiongea nao sijaiona Link. Sijui kawahi🙉🙉🙉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…