Kila user wa JF ana tuhuma zinazomkabili, iwe kwa namna moja au nyingine.
Mshana Jr ni mtuhumiwa wa uchawi na ulozi.
Pascal Mayalla ni mtuhumiwa wa uchawa na kujipendekeza.
GENTAMYCINE ni mtuhumiwa wa kuwatukana watu na kujifanya much know.
Malaria 2 ni mtuhumiwa wa udini.
Kila ID ina tuhuma...
Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura.
Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma hizi ni za kweli?
Kwanini unalazimisha Maridhiano, ina maana unapinga maamuzi ya Baraza Kuu na Kamati kuu?
Hukuhudhuria kwenye msiba wa dereva wa...
Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS.
Matukio ya Rais wa...
bado
hana
huyu
kimya
kutumia
maadili
mawakili
mbona
mpya
ofisi
ofisini
rais
rais wa tls
shutuma
tls
tuhuma
tunataka
uchaguzi
uchaguzi wa rais
uchunguzi
vurugu
wakati
watanzania
MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia.
Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
Maafisa wawili wa polisi katika Kaunti ya Meru wamekamatwa na kufikishwa mahakamani wakishukiwa kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu na nusu katika eneo la Kinjo, Imenti Central.
Maafisa hao, Nicholas Njagi na James Mutabari, wanaohudumu katika kituo cha polisi cha Kinjo Police...
Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika.
Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026
Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
Jeshi la Polisi limemkamata Faustine Zakaria, kinyozi kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana katika picha mjongeo akifagia noti alizokuwa amezitawanya sakafuni pamoja na nywele zilizotokana na shughuli za unyoaji na uchafu mwingine ndani ya saluni yake.
Picha mjongeo...
Afisa mkuu wa Polisi katika Kaunti ya Kakamega amekamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya kutuhumiwa kumuingilia kingono msichana mwenye umri wa miaka 16.
Kwa mujibu wa taarifa za Polisi, OCS wa Kituo cha Polisi cha Lumakanda, Wycliff Kwendo, alidaiwa kuwaambia Wazazi wa msichana huyo kuwa...
Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha.
Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumbaka mwanamke aliyekuwa mteja wake katika Wilaya ya Mtwara.
Mtuhumiwa huyo ametambulika kwa jina la Shafii Rashid, mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Kijiji cha Nanguruwe...
https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j-
Anasema:
1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo amekuwa anaumwa na kuhudhuria matibabu ikiwemo kulazwa kwa siku 6 hospitalini...
2. Amemtaka mtu...
Afisa wa Kenya Revenue Authority (KRA), Hughes Obilo, amekamatwa Kisumu na Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) kwa madai ya kudai hongo ya Sh100,000 kutoka kwa kampuni ya ujenzi.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, fedha hizo zilidaiwa kuwa “facilitation” ili afisa huyo asaidie kuondoa tax...
Gor Mahia imeondolewa kwenye CAF Champions League baada ya kipigo kizito cha jumla ya 7-1 dhidi ya Pyramids FC ya Misri, matokeo ambayo sasa yameibua maswali na tuhuma za match-fixing miongoni mwa baadhi ya mashabiki.
K’Ogalo iliingia Cairo ikiwa nyuma kwa mabao 2-0 baada ya kupoteza mechi ya...
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua,
je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga?
Baada ya hukumu...
Wakazi wanaoishi karibu na River Kibos, Kisumu, wanataka mamlaka kutoa majibu kuhusu madai mapya ya uchafuzi wa mto huo, huku wakitaka shughuli za Kibos Sugar and Allied Industries zichunguzwe na sheria za mazingira zitekelezwe.
Lakini ukifuatilia rekodi, swali linakuwa kubwa zaidi: Kwa nini...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa walioteuliwa na kubadilishwa vituo vya kazi kwenda kujirekebisha na kuwatumikia wananchi ipasavyo. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.