Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua,
je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga?

Baada ya hukumu,
kuna uwezekano mkubwa wa viongozi na wafuasi wa chadema kugawanyika na kuanza kutuhumiana dhidi ya kumuhujumu mwenyekiti wao badala ya kumtetea.

Una maoni gani dhidi ya namna mashahidi wa Lisu walivyo jieleza mbele ya mahakama?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu
 
Screenshot_20260826-114453~2.png
 
Back
Top Bottom