Afisa wa Kenya Revenue Authority (KRA), Hughes Obilo, amekamatwa Kisumu na Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) kwa madai ya kudai hongo ya Sh100,000 kutoka kwa kampuni ya ujenzi.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, fedha hizo zilidaiwa kuwa “facilitation” ili afisa huyo asaidie kuondoa tax arrears za takribani Sh4.5 milioni kutoka kwenye mfumo wa iTax na kuwezesha kampuni hiyo kupata Tax Compliance Certificate (TCC).
TCC ni hati rasmi ya KRA inayothibitisha kuwa taxpayer amewasilisha returns na amelipa au ameshughulikia madeni yake ya kodi. KRA inaeleza kuwa ili mtu au kampuni apewe certificate hiyo, lazima awe compliant na tax obligations zake, ikiwemo kushughulikia outstanding tax debt kupitia njia rasmi.
Hapo ndipo uzito wa madai haya unaingia.
Ikiwa tax liability inaweza kuondolewa au kubadilishwa kupitia hongo, swali si tu kuhusu afisa mmoja—ni kuhusu usalama na uadilifu wa mfumo wa ukusanyaji kodi wenyewe.
Ni nani anaweza kubadilisha tax records ndani ya iTax? Mabadiliko hayo yana audit trail? Na ni mara ngapi taxpayers wameombwa “facilitation” ili wapate huduma ambayo inapaswa kutolewa kupitia mfumo rasmi?