Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,

Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.

Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.

Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Huyo ndiye ana mkakati Mkubwa kuhakikisha Lissu Hatoki kwenye Kuta za Gereza la Ukonga ili apige pesa
 
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,

Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.

Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.

Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kuna watu wanakitenganisha chadema na hawa wahuni ili chama kisifutwe. Chini ya Lissu na Heche chadema inaweza kufutwa kwwnye daftari, hasa pale wahuni wanapojitahidi kumkwepesha Lissu na kukiingiza chama kwamba ndicho chenye mkakati ule wa No reforms no election uliozaa vurugu za oct29. Kuna watu ndani ya chama wanataka Lissu na kundi lake waubebe mzigo wao ili chama kibaki salama.

Chadema haihusiki na haya hapa maneno:

View: https://www.facebook.com/watch/?v=988605313638635
 
Unajua tuko msibani. Unaanzisha mambo yanayolenga kuharibu taratibu za kuumaliza msiba. Unaleta taharuki
 
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,

Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.

Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.

Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Rubbish thread of the day
 
Baada ya kikao wamekuja kwa nguvu
Tlaataa
Trol jf
Lucas mwashambwa
Bado tu kengele ya propaganda za kichovu haijagonga tu?
 
Naona mbung'o mmekutana mnasogoa...itaneni wote.
Ila tahadhari, Chadema ni mbuyu mkongwe, kuukata kwa shoka ni kujichosha bure.
Gentleman,
elekeza maoni yako dhidi ya hoja mahususi mezani bila mihemko,
na itapendeza zaidi 🐒
 
Heche nilishamshtukia siku nyingi ni msaliti, Amepiga pesa nyingi sana za tone tone mpaka akagombana na lema
 
Heche ni mtu hatari sana. Kamdhulumu mangi Lema mgawo wake wa tonetone, Lema akaamua kuweka usaliti wake hadharani. Heche ni mkurya mwenye asili ya uchagani kwa sababu anapenda hela balaa.
 
Kuna watu wanakitenganisha chadema na hawa wahuni ili chama kisifutwe. Chini ya Lissu na Heche chadema inaweza kufutwa kwwnye daftari, hasa pale wahuni wanapojitahidi kumkwepesha Lissu na kukiingiza chama kwamba ndicho chenye mkakati ule wa No reforms no election uliozaa vurugu za oct29. Kuna watu ndani ya chama wanataka Lissu na kundi lake waubebe mzigo wao ili chama kibaki salama.

Chadema haihusiki na haya hapa maneno:

View: https://www.facebook.com/watch/?v=988605313638635

nikiwafuatilia viongozi wa chadema taifa karibu wote behind the scene, haiba zao zinaonyesha kwamba wangependelea huyu muungwana afungwe jela maisha kanakwamba hiyo kauli ilikua ni yake binafsi kitu ambacho si kweli.

Na hapo ndio ile principal katika siasa kwa wanasiasa kwamba,

there are two constants in politics which are betrayal and interests inathibitika na kutimia pasina shaka yoyote.🐒
 
1. Kwamba Heche ndio alimkamata na kumfungilia Lissu kesi ya uhaini?
2. No reforms ni election ililetwa na CHADEMA chini ya nani? Kama sio Mbowe akiwa Mwk 2024 December?
3. Kama DGIS ni chombo Cha serikali je makama ni chombo Cha nani?
Majaji wanateuliwa na nani?
4. Nani ameua Watanganyika maelfu 29.10.2025?
5. Nani anateka Watanganyika?
6. Nchimbi yupo wapi?
7. Polepole yupo wapi?
Mwenye nguvu ya kufanya haya yote ndio anajua Kwa nini Lissu yupo kwenye Kuta za ukonga.
 
Back
Top Bottom