Si unaona muda wote anafokafoka na kuwa na hasira muda wote utafikiri kichaa au Mwendawazimuana beti sana yeye na mchungaji Msigwa, japo aliewafundisha ni lema.
lazima tu atakua anatumia na hiyo kitu
Na ni liongo sana lile lijamaamikeka yake ikichanika + akivuta mibangi na kuchanganya na ugoro basi anakua anafofoka kama mganga wa kienyeji tu
Wana CHADEMA wameshamshitukia na macho yake anayoyatoa toa utafikiri Mjusi kabanwa na mlangosi hivyo tu,
heche ni mpotoshaji na mzushi vibaya mno.
jamaa ni mtu wa hovyo sana aise
Man ukija na siasa nyepesi lazima tukujibu Manny.ok.
relax bas gentleman,
hata ufisadi pamoja na usaliti,
heche anafanya kwa maslahi yake binafsi na familia yake 🐒
Kipelee kimeanza kuwasha umeamkia CDM tutakipasua tuliaa tuuWana CHADEMA wameshamshitukia na macho yake anayoyatoa toa utafikiri Mjusi kabanwa na mlango
Andiko km hili Wala halina nafasi Kwa jamii yetu kabisa, unapata wapi nguvu ya kuanza kutunga mauongo kiasi icho....alafi unafaidika nini zaidi ....Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,Man ukija na siasa nyepesi lazima tukujibu Manny.
Tulia sio kila unalosikia kwenye social media unaleta hapa while huna evidence zaidi ya kusikia manny.
Jipw muda na uweke ushaidi sio kumsikiliza akina Mchome na Odera wasiojua wanataka
Manny tulia usipaniki Manny
Heche tutamlindaa
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman regardless ya mihemko au makasiriko ya mdau yeyote yule wa Jf,Andiko km hili Wala halina nafasi Kwa jamii yetu kabisa, unapata wapi nguvu ya kuanza kutunga mauongo kiasi icho....alafi unafaidika nini zaidi ....
Ukweli ni upi apo kwani una evidence....?wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman regardless ya mihemko au makasiriko ya mdau yeyote yule wa Jf,
I'm sorry to say that light truth gentleman 🐒
Itisheni kikao cha halmashauri kuu mumjadili kuhusu tuhuma zenu.Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
baraza kuu la chadema taifa limeyeyushwa kisayansi sana na heche,Itisheni kikao cha halmashauri kuu mumjadili kuhusu tuhuma zenu.

Manny nina uhakikia lile genge la.kusema makamu mwenyekiti kala hela ndio wewe na wenzankoo na sijui Heche anamuhujumu asitokegentleman,
situmii mitandao na wala sifahamu jinsi ya kuitumia zaidi ya JF.
Binafsi mambo muhimu yote nawasiliana na ofisi za wahusika kujiridhisha na hatimae ndio napata cha kueleza humu jukwaani.
na be free to reply my comments as you wish and everything gonna be alright.
ni ngumu kumlinda fisadi na msaliti pale Chadema 🐒
Mlitaka muharibu maana mnachuki kama nini tuliwasomaa mapemaa!baraza kuu la chadema taifa limeyeyushwa kisayansi sana na heche,
ila akajisahau na akadhani kwamba jambo lake la ufisadi limekwisha ,
sasa limeibuka la usaliti, atapona kweli gentleman?![]()
Hakuna kitu kama hichoevidence zote zitawasilishwa kwenye vikao husika gentleman. Lema ana file na risiti za ufisadi na usaliti wa heche gentleman 🐒
Simba anapokasirika kumuona swala anakula nyasi.baraza kuu la chadema taifa limeyeyushwa kisayansi sana na heche,
ila akajisahau na akadhani kwamba jambo lake la ufisadi limekwisha ,
sasa limeibuka la usaliti, atapona kweli gentleman?![]()