Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #61
files na risiti za ufisadi na usaliti wa heche zipo na, zitawekwa wazi kwa wakati muafaka kwenye vikao husika hususani Baraza kuu la chadema taifa na hapo ndipo mbivu na mbichi zitabainishwa.Manny nina uhakikia lile genge la.kusema makamu mwenyekiti kala hela ndio wewe na wenzankoo na sijui Heche anamuhujumu asitoke
Lissu aliwajibu juzi hapa sijui mkajikausha kama sio nyini leo mmekuja tena na oo hujuma .hapa mtapotean tuu
Huna ushaidi wowote kama unayo weka hapa tuone .
Manny check michongo mingine hii itaisha tuu j5 mtafute lingine.
Cc Lucas Mwashambwa maana namuona hapa anaweka vionjo vyake
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra. Acheni wadau wa JF wajadili ufisadi na usaliti wa heche kwa uhuru 🐒