jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kumbwelambwela vitu useless jukwaani na itapendeza zaidi 🐒Baada ya kikao wamekuja kwa nguvu
Tlaataa
Trol jf
Lucas mwashambwa
Bado tu kengele ya propaganda za kichovu haijagonga tu?
Ajenda yetu ya 2030 mmeihifadhi wapijikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kumbwelambwela vitu useless jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
Wala hatuyumbishwi na hizo swagaa tuko na Makamu Mwenyekiti hizo ni siasa nyepesi mmetoka na ulaji wa michango mmehama kwenye usalitiBaada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ok.Wala hatuyumbishwi na hizo swagaa tuko na Makamu Mwenyekiti hizo ni siasa nyepesi mmetoka na ulaji wa michango mmehama kwenye usaliti
Passport ni yake binafsi inahusiana vip na CDM
NIDA number inahusiana vip na CDM
MAMBO BINAFSI YASIHUSUSHWE NA CDM
HATA KIDOGO Mh Sana Kiongozi wa Chama kikuu cha siasa nchini kwetuu songa mbele .
Tuko na wewe tena weka number uokotee chochote kituu
Agenda hii https://www.jamiiforums.com/threads...aka-ndani-na-nje-ya-ccm.2457058/post-56713616Gentleman,
kwamba agenda yenu ya kumbanudua heche uongozini ni mpaka 2030?
kwamba ufisadi na usaliti wake mnamkenulia tu right?🐒
kwa faida ya wadau wa JF ambao hawana muda wa kuingia huko,
Heche ni kirusi ndani ya CHADEMA anayeshirikiana na wanaharakati uchwarain fact,
uko sahihi 100% na kwakweli wamechelewa sana kumbandua heche chadema,
na chama kinazidi kumeguka
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
In fact,Heche ni mtu hatari sana. Kamdhulumu mangi Lema mgawo wake wa tonetone, Lema akaamua kuweka usaliti wake hadharani. Heche ni mkurya mwenye asili ya uchagani kwa sababu anapenda hela balaa.
ok.🐒View attachment 3669885View attachment 3669886View attachment 3669887
Ukiona asiyekutakia mema analalama ufanyayo basi shikilia hapohapo, Heche yuko njia sahihi na Supporter namba moja wa afanyayo ni mwenyekiti wake Lissu.
Moja ya post za kipuuzi kuwahi kuzionaBaada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
View attachment 3669885View attachment 3669886View attachment 3669887Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
hivi havihusiani na hoja mahususi mezani gentleman, right?🐒
Kuna uwezekano mkubwa akawa ni Mtumiaji wa Bangi Kali .halafu hajielewi kabisa kama anatumika vibaya kuisambaratisha chadema