Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF

Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa kama miguu.

Gwajima alivyofika alipokelewa na jeshi la polisi likimsii aondoke wafanye kazi zao kwa kile kutekeleza amri ya serikali. Greda zikiwa bize kugegeda mabati na tofari kuzifanya kifusi. Aliishia kujibebesha kadogo hukuaki laani na kuwafariji waliofikwa na kadhia hii.

Watu tukae tukijua kufuata sheria chief Hangaya hana utani na abembelezi jura ya mtu, ana taka mambo yaende kwenye mstari.

Bomoa.JPG
 
Kipi Bora waendelee kukaa bondeni ili ikija mvua tuwasaidie kila mwaka au tuwahamishe na tuwape maeneo salama kwao??
Iyo aihalalishi kubomoa makazi ya watu ni uonevu wa hali ya huu kubomolea watu nyumba zao. LAZIMA kuwe na utu. Jiwe aliwabomolea watu KWA chuki zake kimara akidhani ataishi milele ikulu. YUKO WAPI SASA?!
 
Back
Top Bottom