Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

Walipewa taarifa, ili wahame?

Nafikiri ni muhimu ukiamua kubomoa watu waliopewa vibali na serikali, wafunge wote waliotoa vibali na kuruhusu ujenzi ufanyike.

At the very least wangepewa pesa za kuanza maisha mapya.
Hakuna vibari watu walifanya manuva wakapewa hadi hati za kimangumashe
 
Hakuna vibari watu walifanya manuva wakapewa hadi hati za kimangumashe

Kabla ya kubomoa, wote waliotoa vibali, watu wa serikali inabidi wawajibishwe. Siku zote tunatoa adhabu kwa upande mmoja tu.

Walipewa notice ya kutosha?
 
Walipewa taarifa, ili wahame?

Nafikiri ni muhimu ukiamua kubomoa watu waliopewa vibali na serikali, wafunge wote waliotoa vibali na kuruhusu ujenzi ufanyike.

At the very least wangepewa pesa za kuanza maisha mapya.
Walipewa taarifa miaka miwili watawekwa x wakafuta wakaendelea
 
Hawa hapa leo wanajadiriwa

Screenshot_20211124-162405_WhatsApp.jpg
 
Sijajua ukweli hasa kuna issue gani hapo Mbweni ila nimemsikia Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Gwajima akisema amezungumza na na ao wabomoaji wamemjibu kuwa wanapisha bustani.

Sijui labda kama kuna mwenye taarifa sahihi atujuze kuna nn huko hasa huko Mbweni.
 
Mama anaupiga mwingi [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] wanyonge tujinyonge
 
Masikini ndio chanzo cha uchafu mijini..ondoa masikini wote jenda nyumba bora hasa apartments ndio waje wapangishe au wanunue..hii ya kila mtu kujijengea ifanyike huko vijijini..sio kwenye majiji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkiwaonba kura mnawaita wanyonge.
 
Back
Top Bottom