ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Video ninayo kubwa sana inakula mb 30
Weka mgt software, pia jibu maswali hapo juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video ninayo kubwa sana inakula mb 30
Hakuna vibari watu walifanya manuva wakapewa hadi hati za kimangumasheWalipewa taarifa, ili wahame?
Nafikiri ni muhimu ukiamua kubomoa watu waliopewa vibali na serikali, wafunge wote waliotoa vibali na kuruhusu ujenzi ufanyike.
At the very least wangepewa pesa za kuanza maisha mapya.
Hakuna vibari watu walifanya manuva wakapewa hadi hati za kimangumashe
Walipewa taarifa miaka miwili watawekwa x wakafuta wakaendeleaWalipewa taarifa, ili wahame?
Nafikiri ni muhimu ukiamua kubomoa watu waliopewa vibali na serikali, wafunge wote waliotoa vibali na kuruhusu ujenzi ufanyike.
At the very least wangepewa pesa za kuanza maisha mapya.
Bora lilikkufa lile kiuaji la chatoWaache wanyooshwe maana mtetezi walimuita dhalimu na dikteta
Walipewa taarifa miaka miwili watawekwa x wakafuta wakaendelea
Mkiwaonba kura mnawaita wanyonge.Masikini ndio chanzo cha uchafu mijini..ondoa masikini wote jenda nyumba bora hasa apartments ndio waje wapangishe au wanunue..hii ya kila mtu kujijengea ifanyike huko vijijini..sio kwenye majiji.
#MaendeleoHayanaChama