Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

Iyo aihalalishi kubomoa makazi ya watu ni uonevu wa hali ya huu kubomolea watu nyumba zao. LAZIMA Jiwe na utu. Jiwe aliwabomolea watu KWA chuki zake kimara akidhani ataishi milele ikulu. YUKO WAPI SASA?!
HUNA AKILI WEWE.
 
Ulitaka azuie kwa maombi ama kwa sheria ipi?
 
Ni wapi huko yalikovunjwa majumba mkuu mbweni au Bunju?
Tupe kapicha ka nyumba ilovunjwa
 
Maombi yamegoma kufanya Kazi? 😂😂
 
Kwani kuna kipi amewahi fanikiwa Gwajiboy?
 
Mbona ufisadi wa Makamba haufanyii kazi,anavunga kama hayupo nchini???????????????
 
Mchungaji akitaka kujenga nyumba waumini tunamchangia, Ila muumini akitaka kujenga nyumba mchungaji anasema nitakuombea.
Hapo ndo tunapoenda kinyume na mausia ya Mungu kitu kinachofanya watu wamuone Mungu hayupo,utaratibu wa kupata Mali unaeleweka ni watu wafanye kazi Ili wapate Mali Sasa watu badala ya kuambiwa ukweli wafanye kazi Ili wapate Mali mtu anaambiwa aombewe Mali zishuke kutoka juu, baba anaambiwa awarithishe watoto wake urithi wa Mali zake Ili wawe na Mali tena mtu anadanganywa mtoto atajilea kwa bahati tu Sasa huyo mtoto akipitia mateso ya kukosa matunzo anajikuta haoni Kama Kuna Mungu Sasa hii ni shida kweli.
 

Walipewa taarifa, ili wahame?

Nafikiri ni muhimu ukiamua kubomoa watu waliopewa vibali na serikali, wafunge wote waliotoa vibali na kuruhusu ujenzi ufanyike.

At the very least wangepewa pesa za kuanza maisha mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…