Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

Muhimu Watendaji wa serikali, wawajibishwe, na wasitoe tena vibali kujenga maeneo ambayo hawatakiwi.

Kila kibali kikitolewa, wahusika wote wafungwe na kufilisiwa. Nidhamu itarudi.

Hawa wapewe hata compesation kidogo kuanza maisha upya?
 
Mipango miji iheshimiwe. Mnaona eneo wazi mnavamia. Na wale matajiri waliovamia maeneo ya wazi nao washughulikiwe.
 
Mipango miji iheshimiwe. Mnaona eneo wazi mnavamia. Na wale matajiri waliovamia maeneo ya wazi nao washughulikiwe.

Kuhusu matajiri, hawawezi kuwagusa sababu watapewa mkwanja mrefu. Pia ndio wao wanaviuza na kuvinunua.

Viwanja vingi tu vimeuzwa vya mpira, vya wazi, mkondo wa maji Mikocheni karibu na Nyumba ya Nyerere vyote viliuzwa kinyume na matakwa ya Nyerere.
 
Issue ya Ardhi iangaliwe upya, watu wakikizi vigezo ni Watanzania, wapewe ardhi iliopimwa, iliyopangwa sehemu zote ndani ya Tanzania, hadi hapa Dar.

Wapewe mikataba ya kulipa polepole miaka 10, 15, 20 nk kutokana na vipato vyao.

Nchi hii ina ardhi ya kutosha, ni yetu sote. Ardhi inaweza kuwasaidia maskini wainuke.

Ndio solution ya kudumu, endelevu, kuondoa majanga kama haya, rushwa, watu kuvamia maeneo.

Waziri Lukuvi angalia hili.
 
Gwajima kawapiga changa la macho, nyymba hizi zina mwaka na nusu watu wanajenga kwa kasi, ni Kyle kulikomwaga vichwa vya immune na pakazuiliwa pasijengwe, watu wakawa wanajiuzia laki tatu, sita
 
Ni jukumu lako wewe mnunuzi kuhakikisha uhalali wa unachonunua.

Jukumu la mamlaka ni kuhalalisha utapeli kwa watendaji wao siyo.

Tuna waweka watu kwenye serikali, mamlaka kusimamia nini, jukumu lao la kwanza ni lipi?
 
Inaumiza kweli. Lakini na sisi wananchi tujifunze kutii sheria bila shuruti.
 
Iyo aihalalishi kubomoa makazi ya watu ni uonevu wa hali ya huu kubomolea watu nyumba zao. LAZIMA kuwe na utu. Jiwe aliwabomolea watu KWA chuki zake kimara akidhani ataishi milele ikulu. YUKO WAPI SASA?!

Jitahidi muwe wenye kuelimika na kuzifahamu sheria za nchi

Umejenga pasipo kufuata sheria na kanuni, kwann usibomolewe!??

Ulaya huko unabomolewa na mahakamani unafikishwa
 
Ulaya, hupati hati, kibali cha serikali kujenga usipotakiwa.

Ulaya huwezi kujenga hadi kukamilisha ukaaka miaka kadhaa Serikali inakuangalia tu.

Watafungwa watendaji wote na serikali husika itajiuzulu.
 
Jitahidi muwe wenye kuelimika na kuzifahamu sheria za nchi

Umejenga pasipo kufuata sheria na kanuni, kwann usibomolewe!??

Ulaya huko unabomolewa na mahakamani unafikishwa
YUKO WAPI SASA?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…