Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

Joined
Jan 20, 2015
Posts
16
Reaction score
33
Leo katika siku maalumu ya kuombea Taifa Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe alipewa fursa ya kuomba kwa ajili ya taifa.

Maombi yake yamenifanya nibadili mpaka mtazamo wangu kuhusu yeye moja kwa moja. Video iko hapo chini.

Your browser is not able to display this video.
 
Peleka upumavu wako huko IBILISI, ulimwambia magu asihangaike na "MBWA" wanaobweka watamchelewesha safari yake.. leo unawaombea "MBWA" wale wale.
 
Dah, tutaingia kaburini tupo hoi kabisa. Watu watakuwa wanasema, "Bora akapumzike, ameteseka sana."
 
Peleka upumavu wako huko IBILISI, ulimwambia magu asihangaike na "MBWA" wanaobweka watamchelewesha safari yake.. leo unawaombea "MBWA" wale wale.
Watu mliokulia facebook mna tabu sana. Huku ni intellectuals pekee sio tu bando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…