Yehoyada Yedidia
Member
- Jan 20, 2015
- 16
- 33
- Thread starter
- #21
Maombi ni maombikuna maombi ya kisiasa na maombi ya kawaida,au maombi ni maombi tu?.
watumishe mnisaidie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maombi ni maombikuna maombi ya kisiasa na maombi ya kawaida,au maombi ni maombi tu?.
watumishe mnisaidie?
Bila shaka wewe ndo wale watega mitego, au ndo maana unaona huyataki, wewe kama ni mtanzania, yatakupata yote kwa uzuri au kwa ubaya sawa na moyo wako ulivyo.Hayo maombi yake Kwa taifa hili Mimi binafsi nikiwa kama mwanawa taifa hili nayakata nakuomba eeh Mungu hayo maombi yake usinihusishe na mimi
Tulia mkuuSasa unamuonea wivu mwanaume mwenzako sio maadili ya kiafrika hayo
Vyovyote utakavyonielewa Ila huyo Gwajima Hana moral authority ya kuniombea Mimi bwana halafu acha kunilazimisha kitu ambacho sikitakiBila shaka wewe ndo wale watega mitego, au ndo maana unaona huyataki, wewe kama ni mtanzania, yatakupata yote kwa uzuri au kwa ubaya sawa na moyo wako ulivyo.
Nimekuwq makamu Mungu kivipi? Mimi binafsi naamini kuna Mungu mmoja tu hana makamu wake .Umekuwa makamu Mungu
Ogopa Matapeli...
Gwajima ni wale wa tuma kwenye namba hii
Jifunze na wewe utapeli ili na wewe uishi vizuriHaya matapeli yanaishi vizuri balaa
Maombi yalituvusha kwenye coronaMaendeleo hayafiki Kwa maombi ,kama hakuna Sera ,hakuna kiongozi anayewaza baadae ya miaka 20 ,zaidi ya uwongooooo hakuna kitu