Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

Mtoa mada zezeta sana kwani gwajiboy ana kosa gani?
 
Huyo mama yako ni nani mpaka Gwajima ajitokeze na kumuomba msamaha!! Hivi unafahamu sehemu kubwa ya akili ya mtoto anachukua kwa mama yake? Sasa kama wewe mwenyewe ni kilaza, huyo mama yako si atakuwa ni kilazaร—2!
 
Umeishiwa na hoja? Sisi tnaenda na flsafa ya Reconciliation Resilience Reform Rebuild.
 

Kama ana huruma atuambie Mdude yuko wapi.
 
Una kichwa cha Bata
 
Lucas wasjambwa unajuwa kiwapa za uso misukule.
Utafiti wa TWAWEZA ulitoa majibu sahihi kabisa kuhusu wafuasi wa ccm. Misukule wote wapo kwenye hilo lichama lako linalotumia vyombo vya dola kulazimisha kubaki madarakani. Jinga kabisa wewe, ni afadhali baba yako angetumia hata condom kuliko kutuzalishia kiumbe chenye kamasi kichwani badala ya ubongo!
 
Huyo mtu wenu sio Mungu, kuweni makini sana.
Ila
 

Attachments

  • downloadfile-9.jpg
    290.5 KB · Views: 24
Hivi UCHAWA ni kitu gani?
Mbona ni kama ugonjwa wa ajabu wa akili mbaya kuliko kichaa?

Mtu anaamua mwenyewe kuwa chawa au anaweza kufanya chawa?

Ni kama zombi ama roboti fulani unaloweza kuliprogram au nini?

Au ni transformation ya nyakati na maendeleo ya kijinga ya mwanadamu ?

Nini kanasababIsha mtu aliye binadamu kweli 2 aione S au 3 aione kama E ?????

Picha linaanza chawa Hana ndugu, hata chawa wenzake sio ndugu zake maana wanakulana........Eti ndugu zangu Watanzania๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž

Gwajima hajafungiwa na raisi Bali Sheria alafu amuombe rais amsamehe!!! Kuna kitu kweli hapo juu?๐Ÿฅธ

Amani na upendo unaotawala ni upi anaoutaka raisi?? Uteji,Uuaji,Ubakaji,Ulawiti,Wizi na Uchawa hiyo ndio amani na upendo??

DHAMBI YA UCHAWA NI KUBWA MNO KUKIKO YA UHAINI
 

 

Attachments

  • 6088522-08afa11c6da2490710257fde28a2115.mp4
    36.3 MB
Your browser is not able to display this video.
 
Kabla hajatoka, akukaze kwanza nyuma. Jinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Soma andiko nimeeleza vyema kabisa
Nimesoma kabla ya kuandika. Ujumbe niliopata ni kua "mama" aombwe misamaha ili kanisa lifunguliwe.
Simple logic ni kuwa yeye ndie alieamuru lifungwe pasina haki.
Kwa lugha nyepesi hapa kua na utawala wa Sheria katika kulifikia hili jambo, ni jazba na pengine chuku au kukurupuka.
Uchawa mwengine huu mnaweza kuona mnatengeneza kumbe mna haribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ