Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

Sure
 
Comrade Lucas Mwashambwa huku mitaani inasemekana Gwajiboy aidha keshauawa au anatafutwa ili wamuue. Kwa hiyo ujumbe wako huu hauna maana. Kinachoendelea mtaani ni hatari sana kiusalama. Gwajiboy hakuwa na shida ila ni kukosa hekima kwa upande wa serikali hasa mwenyekiti wangu Dkt Samia, sijui hekima zake zimeenda wapi??????
 
Post ndeeefu lkn ni makorokocho tu.. Kosa la Gwajima ni lipi
 
No reform no election.Akuombe wewe ama?Mutamfungulia katika muda sahihi.
 
Sheria yenyewe wanajua basi, maana mahala pengine kabla ya kusema mtu anaingilia siasa ‘elewa kwanza religious ethics (in this instance, bible studies).

Hawajui hata hizo ‘Ten Commandments’ apparently, sasa kiongozi wa dini aone jamii ya watekaji Halafu asikemee morals ambazo zinaangukia kwenye mahubiri yake religiously and socially.

Serikali hawana sababu ya msingi kufungia kanisa kwa mantiki za haki yakuabudu (kiongozi wa dini ya kikristo injili ni kitabu chake) na kitabu kinataka akemee mauji (basi ungeweka kipengele kwenye katiba ambayo inakataza maudhui ya biblia)

Vinginevyi ukiambiwa ukweli kwa mujibu wa kitabu cha mtu kwenye social morals za kwenye kitabu chake unune, kwa kutumia sheria ipi. Zaidi yakutumia madaraka vibaya (Gwajima mahubiri yake yapo ndani ya sheria)

Anyway hiyo ni vita ya Kibatala kwetu kumekucha 👋
 
Kwani uyo mamaenu ndio amelifungia kabisa?.
 
No reforms No Election. Unaposema mama atamsamehee kwa hiyo mama ndiye amemfungia kanisa siyo sheria?
 
 
Futa bandiko lako na toka na Laana zako NO REFORM NO ELECTION
 
Siyo hawajui wanafanya makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…