Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

Mbona umeandika kwa upole sana kama vile wewe ndio unamuomba msamaha Gwajima - kwa niaba?
 
You are the products of Unsuccessful Incomplete Abortion, reasoning like class 3 dropout,
Hiki kitendo cha kufunga kanisa Limemchafua sana huyu Mama yenu,
Kapoteza Imani na kura nyingi za wakristo wanaopenda Ibada,

Baya zaidi anafunga makanisa yote Tz,bora basi angefunga moja la ubungo hilo, unatumia nyundo kuua sisimizi,
 
Hana akili.
 
Siyo hawajui wanafanya makusudi
Kwa watu wanaojitambua kwanza (including) wanasheria, first thing first.

Kupunguza madaraka ya raisi kwenye uteuzi achana na ufanisi mmbaya serikalini kwa madaraka ya raisi.

Upande wa pili anatengeneza ‘judicial contrain’ (hiyo nayo ni nadharia nyingine yenye maelezo marefu only google na AI inaweza kukuelezea in depth).

Ukishaelewa point zangu A na B utaona umuhimu wa kumpunguzia raisi teuzi kwanza na kufukuza watu kirahisi.

Hayo mambo ya NRNE bade ni siasa tu kwa kwanza ni stable ‘civil service’ na ‘judiciary’ hoja za Gwajima kung’amua inataka akili.

Na ukizielewa unagundua kuna watu ndani ya serikali wamechoka madaraka ya raisi kuwaaribia kazi.

Sasa usiseme katiba ya Warioba ndio solution (kwa sababu ilikuwa ujinga mtupu unaopendekeza upuuzi huku ukulinda mamlaka ya raisi).

Siasa za Tanzania ngumu sana, na CDM ni tatizo; kwenye kuvurugua mipango (hiyo nayo ni story ndefu, nyingine).

Tanzania inamatatizo, Lissu sio solution yetu.

Huu upepo wa NRNE umepaa ghafla baada ya mateka na kifo cha Mdude (tumechoka huu uuaji usio na kichwa wala miguu).

Walaaniwe wote waliohusika na hiko kifo.

Vita ya kifo cha Mdude ikibidi kukuwa kwa NRNE na Lissu kuwa raisi iwe hivyo. Lakini si kwa sababu Lissu ni maridadi

Vinginevyo siasa ni ‘political science’ hizo nyimbo wanazoimba kwengine duniani ni uhalali wa kuwafungulia kesi za kuhamasisha ‘uchochezi’.
 
Teuzi ni hisani ya Rais na siyo utumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…