Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

Teuzi ni hisani ya Rais na siyo utumishi
Ndio maana vita ya Gwajima na CDM ni tofauti.

Vita ya CDM ni siasa

Vita ya Gwajima ni stability ya Civil Services (ambayo ni muhimu).

Judge Warioba hakuwa upande huo kwenye katiba ‘so called katiba yake’ ku-stabilise madaraka ya raisi.

Ndio maana Samia, akasema CDM hawajui hata mabadaliko gani ya katiba wanayotaka zaidi ya kuropoka tu.

Hivi mnajua Warioba alikuwa ‘against kupunguzwa kwa madaraka ya raisi’.

Ndio maana hata hao MaCCM wakatuona mataahira, na CDM leo wanakwambia katiba ya Warioba.

Hii ni vita ya kubadili madaraka ya raisi kwanza, upuuzi wa CDM.

Lissu for presidency, Lissu huyu-huyu poyoyo give us a break.

Movement ya NRNE imepata sauti zaidi kwa sababu ya utekaji na uuwaji wa kukera (me biting my tongue).

Binafsi kifo cha Mdude CDM kimeniumiza sana (bado najiuliza kwanini zaidi ya watu wanaopenda kuua tu).
 
Mjinga sana wewe, MUNGU atakulaani. Gwajima ndiye amemteka Mzee Kibao? Gwajima ndiye amemuua Soka? Unaona ni heri utetee chama kuliko uhai wa mwanadamu? Tena unambugudhi mtu aliyejitoa kukemea uovu? Mungu akutazame.
 
Shetani kabisa wewe
 
Kafanya Kosa ganii Huyo gwajima...na kifungu kipi cha Katiba kavunja
 
Jibu ni rahisi tu na uwapelekee waliokutuma, gwajiboy anasema

NO RETREAT, NO SURRENDER

alafu akaongeza

NO REFORMS, NO ELECTION
 

View: https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2Wewe chizi na mwehu kweli..

Amwombe shetani msamaha? Umewahi kuona wapi hii?

Watekaji Rais Samia (Bi Chura Kiziwi) na genge lake la utekaji, ubakaji, ufiraji, ulawiti na mauaji linaloongozwa na mwanae Abdul na mkwe wake Mchengerwa ndio watoke waombe msamaha..!

By the way hata hujui kuwa kesi ilishafunguliwa, imesikilizwa Alhamisi na ijumaa na hukumu ni kesho J'nne

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissuNow
#BringBackMdudeNyagali
#OpenBackGCTC_Church
 
Huyu achunguzwe sio mwanaume kamili.mwanaume kamili hawezi kusifia ovyoovyo.
 
Naomba utunze akiba ya maneno,mm nakuhakikishia muda ukifika Samia ataomba msamaha tupo hapa weka kumbukumbu hiyo.
 
Ni aibu kwa gwaji kuomba msamaha kwa mwanamke Tena mbantu wa ubabani kabisa, mm siwezi binafsi
 
Usiwe unaleta uchawa wako kweny mambo ya msingi!! Nyie walamba kwato kusema ukwel kwenu ni jinai!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…