Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Hawa akina Gwajima Bwana Yesu aliwaona toka zamani hizo, kuwa sio wote waniitao bwana bwana watakaouona ufalme wa Mungu.

Akina Gwajima hawamuabudu Mungu ila wanamuabudu mtu kwa maslahi yao ya kidunia hawana tofauti na waabudu sanamu.
 
USA inaipaa PESA. Tanzania.. Ndio maana Wanafuatili sana.. Mikataba yao mingi ya misaada ina masharti ya nikuzingatia democrasia Kw mnufaika WA mkopo hawo wengine uliowataja hawatoi misaada sana kwa Tanzania, kumbukA USA ndio police wa duniA
 
Askofu wa wajinga.
 
Sijibu maswali ambayo hayana kichwa wala miguu. Issue ilikuwa ni gwajima umekosa hoja sasa unaleta viroja bla bla bla. Katafute mwingine wa kujibu swali lako mie huo upuuzi sifanyi.

Jibu swali.
Mbona swali lenyewe simple tu!
Mhuni ni nani - aliyetuuza 2015 au aliyetununua?
 


Huyu sio mchungaji ni mfanya biashara na tulikuwa naye US alipokuja kununua ndege yake. Yuko kwenye biashara zake awe makini asije kuwa banned kama Makonda
 
Hamna kitu Hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona yeye Gwajima anazungumza Habari za Ubalozi wa Marekani badala ya kuzungumza Habari za kondoo wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijibu maswali ambayo hayana kichwa wala miguu. Issue ilikuwa ni gwajima umekosa hoja sasa unaleta viroja bla bla bla. Katafute mwingine wa kujibu swali lako mie huo upuuzi sifanyi.
Sema tu unaogopa kuonja SUMU.
 
Huyo mtaalam wa filamu za ngono anaongea kama nani?? Yeye anatakiwa atupe maujuzi anayotumia kuwageuza kondoo wake kuwa washiriki wake katika filamu za ngono!
 
Sweden, Norway?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…