Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Huyu ni Mtanzania ana haki zote kuisemea nchi yake , Kwa upande wako Balozi wa Taifa jingine ana mamlaka gani ya kuhoji mambo ya ndani ya Taifa jingine au huji mipaka ya mabalozi?
Kwenda zako huko! Angetoa maoni ya kuupongeza Ubalozi wa Marekani kwa tamko lao, ungemshutumu kuwa Gwajima aache kuchanganya Dini na Siasa.
 
Usilazimishe kuniwekea maneno ambayo sijawahi kuyaandika kuhusu huyo mhuni na tapeli.
Mhuni nani kamanda?
Huyo aliyewasaidia CCM kusimamisha wagombea wawili wa URAIS au Huyo Mgombea aliyeingia dili na Mwamba?
 
Kuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa Shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).

Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Kipindi kile akiwa mshenga wenu wa kumleta Lowasa alikuwa mtumishi wa nani?
 
Usibadili subject husika kwa kujitia UZWAZWA!

Mhuni nani kamanda?
Huyo aliyewasaidia CCM kusimamisha wagombea wawili wa URAIS au Huyo Mgombea aliyeingia dili na Mwamba?
 
Ulevi vs uzinzi wa gwaji boy! Mwambieni zile video bado tunazo akae kwa kutulia!
 
Huyu jamaa alinaswa kwenye ule mtego km wa mdudechadema😀😀😀 kilichobaki hakuna zaidi ya kushangilia wakubwa. Yaani hata waumini wake sijui wanafuata nini huko. Ila hatakama alitegewa mtego ila at least alifaidi ingawa ni kwa kiwango cha chini.
 
Amechuja. Hana cha maana ni mhuni na mchemia tumbo. Kadir cku zinavyokwenda anazidi kuwa useless kabisa
 
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.

Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Chanzo: TBC Aridhio!
Naona Mzee wa kiroho ameamua kuwafundisha Wamarekani Ujasusi - ama kweli Dunia ina mambo!!...Omba maisha marefu uzidi kushangaa!!
 
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.

Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Chanzo: TBC Aridhio!
Kama kweli kasema basi atakuwa mpumbavu hasa, Marekani siyo Kenya au Congo, the entire world lies under the wings of America
 
Safi sana, nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa Marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa, inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu

Mbona sioni ubalozi wa China, Italy, Sweden, Norway nk ukijihusisha na mambo yetu?

Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali, Mungu ambariki sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
[emoji115]Hapo ulipo unatumia vidonge vya ARV ambavyo vinanunuliwa kwa msaada wa pesa kutoka Marekani, vinginevyo ungekufa wewe Bwege
 
Kuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa Shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).

Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Mkumbusheni video prndwa naye atanyamaza kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwaji Miuono aachane na Siasa, Ajikite kwenye PORN ndo kunakomfaa.
 
Milioni mia ishirini zinaongea ,jitu linatembe mpaka na watoto was ndugu zake.
 
Sijui chochote kuhusu hili Mkuu.
Juzi wakati natoka kwenye mall moja hapa Atlanta nikamuona mdogo wako HT, nikasema ngoja nimsalimie mwenzetu wa Sinza, nikamfuata nikamwambia hashim mambo vipi hbari ya siku 😝😝😝 daaaah dogo kanipotezea utafikiri kakutana na aliemuua Marehemu George, nikamwangalia nikaachana nae
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
hahahahahah pole sana Mkuu

Juzi wakati natoka kwenye mall moja hapa Atlanta nikamuona mdogo wako HT, nikasema ngoja nimsalimie mwenzetu wa Sinza, nikamfuata nikamwambia hashim mambo vipi hbari ya siku 😝😝😝daaaah dogo kanipotezea utafikiri kakutana na aliemuua Marehemu George, nikamwangalia nikaachana nae
 
Back
Top Bottom