Ndyali
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,678
- 971
Kwenda zako huko! Angetoa maoni ya kuupongeza Ubalozi wa Marekani kwa tamko lao, ungemshutumu kuwa Gwajima aache kuchanganya Dini na Siasa.Huyu ni Mtanzania ana haki zote kuisemea nchi yake , Kwa upande wako Balozi wa Taifa jingine ana mamlaka gani ya kuhoji mambo ya ndani ya Taifa jingine au huji mipaka ya mabalozi?