masluphill
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 540
- 259
Jambo la nchi ni Personal?, Ni sawa na yule mmarekani mweusi alivyo uawa ni jambo Personal? , Lumumba kweli mmechanganyikiwa.Safi sana, nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa Marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa, inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu
Mbona sioni ubalozi wa China, Italy, Sweden, Norway nk ukijihusisha na mambo yetu?
Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali, Mungu ambariki sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ubalozi umelaani tukio la kinyama. CCM na Magenge yenu mmekuwa na mihemko kila kona hapo ndio mnadhihirisha kuwa msiojulikana mnajulikana.