Askofu Gwajima, Balozi Polepole na usahihi wa kauli ya Paul Makonda

PeterwaPerer

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
292
Reaction score
336
Kwa miaka mingi suala la utekaji na kupotea kwa watu si jambo geni kwa sisi tuliokula chumvi nyingi kwa sababu mbalimbali

Kwa sasa msukumo mkubwa umekuja kwa kuimarika technology na vijana wengi wa 2000 kufikisha umri wa kupiga kura

Siungi mkono jambo lolote linalokwenda kinyume cha katiba, sheria za nchi na hata mila na desturi zetu, mimi ni mtu huru!

Zimwi hili la muda mrefu karibu katika tawala zote hata tangu nchi hii kuwa mikononi kwa wakoloni lakini katika utawala wa Mh JPM, the late, zimwi hili likaja na mvumo mpya na Watanzania wa sasa tukalipachika jina la "WASIOJULIKANA"

Zimwi likaharibu na kuzua sintofahamu kwa kiwango cha kutia hofu na taharuki na hatimaye kugeuka fursa kwa wanasiasa wetu, mifano ipo mingi ila ngoja nije kwenye hoja yangu!

Moja ya wanasiasa waliogeuza zimwi hili kuwa fursa ni pamoja na Askofu Gwajima na aliyewahi kuwa balozi nchini Cuba, Mh Balozi Polepole.

Hawa Watanzania wenzetu wakati sisi wengine tukiishi kwa woga na hofu ya zimwi kutokuwa na uhakika nani litamyukua usiku au mchana, nyumbani au matembezini, si kwa mwenyeji au mgeni n.k wao walikuwa sehemu ya madhira hayo na wapo kimya cha milele kama wafu.

Nukuu

"Ukiona mtu anapiga kelele ujue hayupo jikoni" Mh Paul Christian Makonda, Waziri wa Habari Michezo, Sanaa na Utamaduni akimnukuu pia marehemu Samweli Sitta, mzee wa viwango

Hii nukuu inasdifu tajwa hapo juu na watu wengine wengi tu!

Wasalaam
 
“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.

Mwalimu JK Nyerere
 
Kwa miaka mingi suala la utekaji na kupotea kwa watu si jambo geni kwa sisi tuliokula chumvi nyingi kwa sababu mbalimbali

Kwa sasa msukumo mkubwa umekuja kwa kuimarika technology na vijana wengi wa 2000 kufikisha umri wa kupiga kura

Siungi mkono jambo lolote linalokwenda kinyume cha katiba, sheria za nchi na hata mila na desturi zetu, mimi ni mtu huru!

Zimwi hili la muda mrefu karibu katika tawala zote hata tangu nchi hii kuwa mikononi kwa wakoloni lakini katika utawala wa Mh JPM, the late, zimwi hili likaja na mvumo mpya na Watanzania wa sasa tukalipachika jina la "WASIOJULIKANA"

Zimwi likaharibu na kuzua sintofahamu kwa kiwango cha kutia hofu na taharuki na hatimaye kugeuka fursa kwa wanasiasa wetu, mifano ipo mingi ila ngoja nije kwenye hoja yangu!

Moja ya wanasiasa waliogeuza zimwi hili kuwa fursa ni pamoja na Askofu Gwajima na aliyewahi kuwa balozi nchini Cuba, Mh Balozi Polepole.

Hawa Watanzania wenzetu wakati sisi wengine tukiishi kwa woga na hofu ya zimwi kutokuwa na uhakika nani litamyukua usiku au mchana, nyumbani au matembezini, si kwa mwenyeji au mgeni n.k wao walikuwa sehemu ya madhira hayo na wapo kimya cha milele kama wafu.

Nukuu

"Ukiona mtu anapiga kelele ujue hayupo jikoni" Mh Paul Christian Makonda, Waziri wa Habari Michezo, Sanaa na Utamaduni akimnukuu pia marehemu Samweli Sitta, mzee wa viwango

Hii nukuu inasdifu tajwa hapo juu na watu wengine wengi tu!

Wasalaam
kwa hiyo unataka kumaanisha unamjibu nani?
 
Ukipenda mamlaka na madaraka ambayo kimsingi hujuwi matumizi yake, lazima yatumie vibaya. Mfano ni CCM na serekali yake. Utekaji kwao ndio matumizi ya madaraka.
 
Mimi hata sijakuelewa...

Umeanza vizuri lakini, lakini umeshindwa ku - coordinate hitimisho lako na ujumbe uliokusudia wasomaji wako waupate...!
 
Kwa miaka mingi suala la utekaji na kupotea kwa watu si jambo geni kwa sisi tuliokula chumvi nyingi kwa sababu mbalimbali

Kwa sasa msukumo mkubwa umekuja kwa kuimarika technology na vijana wengi wa 2000 kufikisha umri wa kupiga kura

Siungi mkono jambo lolote linalokwenda kinyume cha katiba, sheria za nchi na hata mila na desturi zetu, mimi ni mtu huru!

Zimwi hili la muda mrefu karibu katika tawala zote hata tangu nchi hii kuwa mikononi kwa wakoloni lakini katika utawala wa Mh JPM, the late, zimwi hili likaja na mvumo mpya na Watanzania wa sasa tukalipachika jina la "WASIOJULIKANA"

Zimwi likaharibu na kuzua sintofahamu kwa kiwango cha kutia hofu na taharuki na hatimaye kugeuka fursa kwa wanasiasa wetu, mifano ipo mingi ila ngoja nije kwenye hoja yangu!

Moja ya wanasiasa waliogeuza zimwi hili kuwa fursa ni pamoja na Askofu Gwajima na aliyewahi kuwa balozi nchini Cuba, Mh Balozi Polepole.

Hawa Watanzania wenzetu wakati sisi wengine tukiishi kwa woga na hofu ya zimwi kutokuwa na uhakika nani litamyukua usiku au mchana, nyumbani au matembezini, si kwa mwenyeji au mgeni n.k wao walikuwa sehemu ya madhira hayo na wapo kimya cha milele kama wafu.

Nukuu

"Ukiona mtu anapiga kelele ujue hayupo jikoni" Mh Paul Christian Makonda, Waziri wa Habari Michezo, Sanaa na Utamaduni akimnukuu pia marehemu Samweli Sitta, mzee wa viwango

Hii nukuu inasdifu tajwa hapo juu na watu wengine wengi tu!

Wasalaam
🎯🎯🎯 ... sasa hivi ukiwa mpinzani mashuhuri chunga sana maana uwezekano ni pamoja na kutekwa na wenzio ili kukuza mtaji! ... yaani unatolewa kafara kuwachafua 'WASIOJULIKANA'!
 
Mimi hata sijakuelewa...

Umeanza vizuri lakini, lakini umeshindwa ku - coordinate hitimisho lako na ujumbe uliokusudia wasomaji wako waupate...!
Hitimisho langu ni kuwa watu wawili hao walikuwa jikoni na hawakuchukua hatua yeyote baada ya kutolewa ndio wakajifanya wanakemea

Ni watu wa dili
 
Back
Top Bottom