johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Angewaambia"Nitarudi hapa kwa mabwege nazi wangu kuendelea kuwachuna vihela vyenu"😂😂😂😂😂Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hahahaaaa...... Pascal Mayalla amefeli kwa Gwaj!Kasema hachanjwi ng'oooo hata akiwa ndotoni, Pascal Mayalla njoo huku, zile trend reading zimebuma ?
Nani alimchagua analeta dharau kwa waliomuibia kuraAskofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Gwajima alikuwaga Chadema!
Wawafukuze tu wananchi tumeshawaelewa hawa ndo wanamuenzi Magufuli kwa vitendo aliyesema Chanjo hazifai.Huo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.
Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.
Wiki hii ya kesho haitoisha.
Wakazi wa Kawe!Nani alimchagua analeta dharau kwa waliomuibia kura