johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaha mkulungwa naona umeamua kumtolea uvivu Gwajiwise 🤣🤣🤣!Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?
Bwashee umeelewa hoja yake lakini?!Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?
Hoja yake ni kutetea sadaka tu deepdown. Wote wanaotaka ku jeopardize hilo atawaona wachawi tu hata kama ana risk maisha ya watu!Bwashee umeelewa hoja yake lakini?!
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Source: You tube
MkuuIpo siku Mbowe atalipa huu udkteta wake
Chadema haipumi ameikalia kooni
Kwani huyu si ndio Alikuwa mwanachama wa chadema namba mbili baada ya lowasa? Au amesahau? Basi hata yeye alikuwa na mapepoMambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Source: You tube
Vipi hata kipindi kile akijiiita mshenga wa Lowasa ulikuwa unamjibu kama hivi.Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?