Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
 
Aanze kuongelea kuhusu mapepo ya kuwala kondoo wake

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Awadanganye hao kondoo anao wala usiku.. Gwaji ni muhuni wa kutupwa.

Mzinzi kuliko hata wapagani
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Source: You tube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyu si ndio Alikuwa mwanachama wa chadema namba mbili baada ya lowasa? Au amesahau? Basi hata yeye alikuwa na mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makanisa yakifungwa atakosa kuchagua kondoo wapya wa kuwala.

Sio mjinga.
 
Back
Top Bottom