#COVID19 Askofu Gwajima: Chanjo ya Corona ni hatari, ni chapa ya mpinga Kristo, Mataifa kututenga kwa sababu hatujachanjwa ni mwanzo wa Uchumi wetu kukua

COVID-19 ni kitendawili kigumu sana kwa wanadamu...
 
Gwajima ni TABULA RASA tu hana lolote kwa tikiti lake.
Yawezekana uko sahihi, sasa badala ya kutokwa povu hebu nawewe jaribu kudadavua kidogo kuhusu Chanjo anayopinga Gwajiboy, kisha wadau tutajua nani TABULA RASA kati yako na yeye.
 
Yawezekana uko sahihi, sasa badala ya kutokwa povu hebu nawewe jaribu kudadavua kidogo kuhusu Chanjo anayopinga Gwajiboy, kisha wadau tutajua nani TABULA RASA kati yako na yeye.
Kwako udadafusi wa gwajima ni hamufifiro shubamiti kabisa..! Nikae kujibu hoja za tabula rasa..! Wewe tabula rasa lenzake kajibu.

Uwezi kuwa na akili timamu ukae kujibu no senses..! Pia unaye omba majibu ya no senses wewe pia utakuwa no sense jingine.
 
Pastors
2010 - Facebook is freemason strategy from the devil
2020 - Follow our live sunday service on facebook [emoji23][emoji23]
 
Wakati wenzetu wakiumiza vichwa kufanya tafiti, sisi tunawaza namna gani kuihadaa jamii kwa kisingizio cha maono.
Kweli dunia ni uwanja wa fujo.
Akiugua mafua anaenda hospitali kulipojaa dawa na vifaa tiba vya wazungu
Nani mwenye maono kati ya hawa watu wawili?

Hata kama ugonjwa huu ni man made, ndiyo tafsiri hasa ya kufanya tafiti,.....nzuri na mbaya. Zenye kutajirisha na kumaskinisha.

Jiulize:
√Hacking haikubaliki. Lakini kwanini ni somo linafundishwa
√Vita haipendezi hatakuisikia, lakini kuna mafunzo ya namna ya kuanzisha vita na kukabiliana na vita.

Tunachotakiwa kufanya ni kuumiza vichwa kuweza kukabiliana na hali hii, maana ipo tayari na tunatakiwa kuiondosha


Tuendelee kuchukua tahadhari bila kupuuza, Corona ipo.
Mungu husaidia wanaojisaidia
 
Kufuata mafundisho ya dini bila kujikinga na kufuata tiba za kisayansi NI UCHAWI huo.
 
Gwajima ameongea point Sana lakini watu msio jielewa mnanwabwaja tu fanyeni utafiti kuhusu hii chanjo mme kaa kwenye kibodi tu hapo mnaandika vitu msivyo vijua
Kaa kimya bas una haja gani kuwaita watu hawajielew kwa sababu hawafwati misimamo yako?
 
Kwa hiyo uchumi wetu hauwezi kukua bila wazungu kuja hapa kufanya biashara! Ukimwambia hili kuwa alilisema ataruka, nabii wa uongo na waumini wake ni mazezeta, Mimi binafsi huwa siwapendi walokole kwa usingizi wao.
 
Kuna kipindi tulikanusha #Tanzania haina #COVID19. Ikawa dhambi kukiri kuwa ipo. Sasa kuna maneno kuhusu chanjo. Ukimya wa madaktari bingwa na wataalam wetu ktk hili inashagaza. Sitaki kuamini utaalamu wao unaishia ktk kujifukiza, tangawizi nk. Toeni ushauri plse. #KSK_Balozi
 
Kumbukumbu zinaniambia Askofu Gwajima alishawahi kufungiwa facebook na instagram.kwa kile facebook walichodai alisambaza habari za uongo kuhusu teknolojia ya 5g kwa 'maambukizi yanasambazwa na teknolojia hiyo'
Kuna kipindi tulikanusha #Tanzania haina #COVID19. Ikawa dhambi kukiri kuwa ipo. Sasa kuna maneno kuhusu chanjo. Ukimya wa madaktari bingwa na wataalam wetu ktk hili inashagaza. Sitaki kuamini utaalamu wao unaishia ktk kujifukiza, tangawizi nk. Toeni ushauri plse. #KSK_Balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…