Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana uko sahihi, sasa badala ya kutokwa povu hebu nawewe jaribu kudadavua kidogo kuhusu Chanjo anayopinga Gwajiboy, kisha wadau tutajua nani TABULA RASA kati yako na yeye.Gwajima ni TABULA RASA tu hana lolote kwa tikiti lake.
Kwako udadafusi wa gwajima ni hamufifiro shubamiti kabisa..! Nikae kujibu hoja za tabula rasa..! Wewe tabula rasa lenzake kajibu.Yawezekana uko sahihi, sasa badala ya kutokwa povu hebu nawewe jaribu kudadavua kidogo kuhusu Chanjo anayopinga Gwajiboy, kisha wadau tutajua nani TABULA RASA kati yako na yeye.
Kaa kimya bas una haja gani kuwaita watu hawajielew kwa sababu hawafwati misimamo yako?Gwajima ameongea point Sana lakini watu msio jielewa mnanwabwaja tu fanyeni utafiti kuhusu hii chanjo mme kaa kwenye kibodi tu hapo mnaandika vitu msivyo vijua
Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.
Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.
Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.
Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.
Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.

Kuna kipindi tulikanusha #Tanzania haina #COVID19. Ikawa dhambi kukiri kuwa ipo. Sasa kuna maneno kuhusu chanjo. Ukimya wa madaktari bingwa na wataalam wetu ktk hili inashagaza. Sitaki kuamini utaalamu wao unaishia ktk kujifukiza, tangawizi nk. Toeni ushauri plse. #KSK_BaloziKumbukumbu zinaniambia Askofu Gwajima alishawahi kufungiwa facebook na instagram.kwa kile facebook walichodai alisambaza habari za uongo kuhusu teknolojia ya 5g kwa 'maambukizi yanasambazwa na teknolojia hiyo'