Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngwajima kawa Daktari lini!, We unafikiri upatikanaji wa dawa zote unazotumia au maarifa mengi ya kimaisha pamoja na technologia tumevipata bila ya upendo wa Muumba wetu.Watu walogundua Computer unayotumia kuweka maoni yako ,gari unalotumia,na umeme Tanesco wanaokukatiaga,wengi hata huyu mungu hawakumwamini.Lakini Muumba kavileta kupitia kwao,na akawabariki na utaalamu na ujuzi,leo wewe mwamini Mungu unajimwambafai hapa jf.Gwajima ameongea point Sana lakini watu msio jielewa mnanwabwaja tu fanyeni utafiti kuhusu hii chanjo mme kaa kwenye kibodi tu hapo mnaandika vitu msivyo vijua
Mkuu wewe uliyefanya utafiti kuhusu hii chanjo tujuze tusichokijua.Gwajima ameongea point Sana lakini watu msio jielewa mnanwabwaja tu fanyeni utafiti kuhusu hii chanjo mme kaa kwenye kibodi tu hapo mnaandika vitu msivyo vijua
Hawa ndio washauri wa ccm mkuuMuache tu. Naona anacheza na Mungu huyu ina maana waliokufa hawakupenda Uchumi mkubwa. Nawasikitikiia sana waumini wake. One term MP
Hivi wabongo mmelogwa na nani ?mwenye masikio na asikie, hivi hua hamjiulizi kwanini kipindi flan corona ilislow down ila baada ya chanjo kuanza kurollout ghafla tukaambiwa kuna strain mpya ya hizo virus? mbaya zaidi sasa tunaambiwa moja ya hizo new variant zimepatikana kwa watu kutoka TZ? kama unaamua kua mbishi ni ruksa kwàni maisha ni yako na mwamuzi wa maisha yako ni wewe mwenyewe... Personally nasimama na GWAJIMA ila kama nabugi step Mungu aniongoze In Sha Allah...
Niwie radhi Mkuuusirudie tena kuhusisha bange na huyu mpuuzi muigizaji wa sinema za matusi.
Na akileta mchezo nafasi yake itachukuliwa na baba paroko
Nilianza kuwa na mashaka naye alipohaidi kununua Train kwa ajili ya SGR sijakaa sawa mwaka jana anatoa ahadi ya kuwapeleka wapiga kura wake Marekani akichaguliwa.huyu mpuuzi ni tapeli