Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Isijekuwa anatuchota dak za lala salama!Anapiga kwenye mshono
Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Na amesema akisikia mguno ataongeza mapigo🤣Anapiga kwenye mshono
Debe tupu mkubwa wewe kobaziMdini tu huyu
Askofu Gwajima ametumika kama Speaker tu, Ila nyuma yake kuna MIC nyingi sana.kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Sio watu wa kuwaamini sana ila kawapiga pabaya sanaIsijekuwa anatuchota dak za lala salama!
Lucas Mwashambwa atakuja tu yupo chimbo studio Lumumba anaanda script na lazima kwenye script yake uwepo msemo "nimebubujikwa na machozi"LUKAS akicomment mnitag.
Kikubwa ujumbe umefikaIsijekuwa anatuchota dak za lala salama!
na yanawezekana sana hayo...wtakaa kimya chupi chini au watatafuta mbayaAnahoji Askofu Gwajima.!