Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Damu ya mdude ni Kali mno
Mzee wa mkono wa baunsa kama anafinya vile halafu anapiga 🤣🤣🤣🤣kachakaza ki Phd sana ukiwa na akili Mnemba huwezi muelewa lakini ame deliver bonge la mesejiAnahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Labda Mchengeruwa ataenda na gobole.Watamuwahi kabla hajatoa episode 2.
Mkuki kwa mchinjaji nguruwe kwa mwenye nguruwe, (mfugaji), mchungu, kikikikiAnahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Kwa uongo alioutoa 2020 Kawe anaweza asiaminike kabisa. Ila alichosema kina uzito wake mkubwa.Gwajima mjanja sana
Kwa mfano, hio inamtoa hatiani moja kwa moja pale Kisutu😁. Gwajima sio fala!Anajua sana chenga za mwili mtu huyu.
😂😂😂😂😂😂 Umenikumbusha ile kauli tata ya kuwa "linalojamba tumbo ila matako ni speaker tu"Askofu Gwajima ametumika kama Speaker tu, Ila nyuma yake kuna MIC nyingi sana.
Ukiona moshi, basi jua Moto unakaribia kuwaka.
Acha tujipe muda.
Gwaji boy kapiga penyewe 🙌🏾Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Alivyosema kuhusu kushushwa kwenye bus ...Ally Kibao na kesho yake kukutwa amekufa ni WA dini yake?Mdini tu huyu
😁😁😁😁😁😁😁Alikuwa na pigo lake anasema single touch double manifestation 🐼
Jibu hoja zake acha kuwewesekaMdini tu huyu
Askofu Gwajima ametumika kama Speaker tu, Ila nyuma yake kuna MIC nyingi sana.
Ukiona moshi, basi jua Moto unakaribia kuwaka.
Acha tujipe muda.
Kipimo cha kwamba una akili timamu ni huruma.Anahoji Askofu Gwajima.!