PreGE2025 Askofu Gwajima: Ikatokea Abdul mtoto wa Mama Samia amechukuliwa kesho kaokotwa hana macho utajisikiaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
97MB dk 1?

mkuu ifute kisha ufanye namna hizo mb zipungue ndio uishushe Tena humu haya yote lawama Kwa CCM .
 
Chura kiziwi anapigwa spana kushoto kulia juu chini mashariki magaharibi šŸ˜†šŸ˜†šŸ˜†šŸ˜‚ ni bora amuachie Lissu halafu Reforms kwenye mfumo wa uchaguzi ili atawale raha mustarehe.
 
Inasikitisha. Tusubiri Majibu toka kwa yale malofa na mambumbumbu ya BAKWATA wazee wa kukamba makalio.

Wenzao wenye IQ kubwa wanahoji kuhusu serikali zile nguruwe zitakuja na blah blah za kidini.
 
Gwajima kapiga kwenye mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…