#COVID19 Askofu Gwajima Kaathiriwa na Filamu za Hollywood "Fiction movies" Pamoja na Mambo dhahania

Hizi Imani bana unaweza kukuta wafuasi wa Kibwetere ukiwaambia habari ya wale wasabato masalia waliotaka kwenda Iraq bila passport wala nauli watawacheka. Wakati huo huo wasabato masalia wanawaona wafuasi wa Kibwetere walikuwa vilaza tu.


πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Imani ikizidi Akili ni upumbavu
Na Akili ikizidi Imani ni uasi
 
Pia na wewe umeandika kifasihi
Wewe na yeye mpo kinadharia zidi.

Tutachanja kama na kama tu viongozi wakijiuzulu waliosema tujifukize leo wanasema chanjo ni salama
 
Nilikua natafuta namna nzuri ya kulielezea hili, lakini kupitia andiko lako hili naona umemaliza kila kitu.

Ahsante sana
 
Pia na wewe umeandika kifasihi
Wewe na yeye mpo kinadharia zidi.

Tutachanja kama na kama tu viongozi wakijiuzulu waliosema tujifukize leo wanasema chanjo ni salama

Nitachanja muda ukifika.

Niache kusafiri nchi za nje kisa hadithi za kitotto
 
Nilikua natafuta namna nzuri ya kulielezea hili, lakini kupitia andiko lako hili naona umemaliza kila kitu.

Ahsante sana


Yaani mtu na akili zake anaelezea ishu ya 666 miaka hii ya Teknolojia.

Yaani nibebe makarabrasha mengi sijui passport, sijui yellow Card, sijui health Test Reports, sijui National ID wakati kumbe nikipigwa Chapa tuu kila kitu napata Huduma.

Sina haja na kubeba makadi ya benk NK

Watu mfano WA Gwajima wasituletee hadithi za kibabu
 
Nivi ni kwa nini Tume ya uchaguzi ilimpitisha Gwajima bila kupingwa??
 
Mtoa mada ni amuk kama wengne tu
 

la 666 linaongelea pia urahisi wa kupatikana kwa hudumaKama ndivyo basi aache hata kutumua simu, maana nayo ina kila kitu.
Conspiracy theory ya 666, inaongelea urahisi wa upatikanaji wa huduma kwa watu wenye hiyo namba. Kama ingekua ni hivyo basi na aache kutumia simu sababu simu Ina kalenda, ina tochi, ina calcukator, ina dictionary, ina radio, ina Tv, ina ramani n.k
Zilipokuja computer, wakaanza mambo yao kwamba ni 666 na ndiyo maana inasajiri watu na humo kila mmoja anapewa namba, wanasahau namba tunazo tangu tunazaliwa kwa kuhesabiwa ni mzaliwa wa ngapi..hata mstarini tulikia tunawahi nsmba.

Zilipokuja simu za mkononi wakadai mambo ya 666, ndiyo maana hizi simu zinekuja ili kila mmoja awe na namba. Wakasahau kwamba tulikua na landline na fax zote zilikua ni namba, pia tulikua na Sanduku la Posta nazo ni namba.

Wajinga na waoumbavu wanaonekana ni werevu sababu ya uthubutu na wepesi wao wa kuongea popote na lolote
 
..nimemsikia Askofu Gwajima akisema eti amekwenda kwenye "database" ya dunia!!

..Askofu angeweza kuipinga chanjo kwa kutumia hoja sahihi, sio kwa kusema UONGO.
 
Bado kitambo kidogo sana ndo tutajua kama kaathiriwa au laa!
 


Wanasayansi hawalali kutwa licha wakihangaika kurahisisha maisha ya watu. Alafu kuna watu Kwa ujinga wao wanaleta hofu zisizona akili
 
Endelea kuwachukulia hivyohivyo

Hivi Kwa Teknolojia iliyopo Kwa akili yako unaamini kabisa maneno anayoongea Gwajima na watu wa Aina zake??

Mimi ni mtunzi wa stori, nafahamu mambo mengi anayopendelea kuyasema Gwajima yamejikita katika fictions Stories or movies ambazo wengi WA Watanzania hawazijui.

Gwajima Hana tofauti kubwa na ndugu yangu Mshana Jr kwenye mambo ya stori za kubuni tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…