GE2025 Askofu Gwajima: Kama akili yako inakutuma kufunga kanisa, funga milele ila misimamo yangu haitabadilika

GE2025 Askofu Gwajima: Kama akili yako inakutuma kufunga kanisa, funga milele ila misimamo yangu haitabadilika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mangosha kwa misimamo ni hatari. Hivi yule Matonda akipewa urais anaweza kupambana na wahuni au? Mana tangu jiwe aondoke, hakuna wa kupambana na wahuni zaidi ya kuwaingiza kwenye mfumo
 
Something isn't right. Kajifungia siku zote, kwanini anaibuka sasa zinapoibuka na tetesi toka Uturuki!

Taifa lijiandae.
 
Samia hakubaliki ndio maana anagawa baiskeli, pikipiki kwa vidampa wake na mabango kila kona ila bado hana ushawishi.
 
Back
Top Bottom