Kwanini ngebe asianzisha hiyo battle na mzee wa bakora.kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda,
pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake,
Sasa Basi mweshimiwa Gwajima ndugai ndo huyo kainua kichwa tayari aya sasa jumapili ujichanganye kumtaja kama unavyofanyaga utakiona cha mtema kuni kilichomnyima pimbi manyoya,
ukijifanya kichaa kuna vichaa zaidi yako
Uzi wa kimalayamalaya tukwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda,
pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake,
Sasa Basi mweshimiwa Gwajima ndugai ndo huyo kainua kichwa tayari aya sasa jumapili ujichanganye kumtaja kama unavyofanyaga utakiona cha mtema kuni kilichomnyima pimbi manyoya,
ukijifanya kichaa kuna vichaa zaidi yako
Gwajima NDEMBENDEMBE....kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda,
pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake,
Sasa Basi mweshimiwa Gwajima ndugai ndo huyo kainua kichwa tayari aya sasa jumapili ujichanganye kumtaja kama unavyofanyaga utakiona cha mtema kuni kilichomnyima pimbi manyoya,
ukijifanya kichaa kuna vichaa zaidi yako
Akiropoka tu anaongezewa adhabu ya bunge....MIKUTANO 3....Mimi nasubiri weekend.... Nimnukuu JK, "Ukijifanya una mapembe, tutakung'oa
Mkuu@ngebe , ungechukua fursa hii kumwambia Ndugai afungue kanisa lake maana katanabaisha anaijua dini kuliko gwaji boy!kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda,
pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake,
Sasa Basi mweshimiwa Gwajima ndugai ndo huyo kainua kichwa tayari aya sasa jumapili ujichanganye kumtaja kama unavyofanyaga utakiona cha mtema kuni kilichomnyima pimbi manyoya,
ukijifanya kichaa kuna vichaa zaidi yako
Ndugai kasema wao wamenawa, hawahusiki tena na wamewasokomezea vyombo vya Dola, maana wamesema akirudia wao watashughulika na wengine sio yeye tena,kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda,
pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake,
Sasa Basi mweshimiwa Gwajima ndugai ndo huyo kainua kichwa tayari aya sasa jumapili ujichanganye kumtaja kama unavyofanyaga utakiona cha mtema kuni kilichomnyima pimbi manyoya,
ukijifanya kichaa kuna vichaa zaidi yako
over👏Ayubu kashika mpini..
Masele Anafahamu..
Assad anafahamu..
Paschal anafahamu..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
mwambie jumapili aropoke tena atajua hajuiNdugai kasema wao wamenawa, hawahusiki tena na wamewasokomezea vyombo vya Dola, maana wamesema akirudia wao watashughulika na wengine sio yeye tena,
Yule mama hakurudia tena tangu akataliwe na baba mkwe mbele ya makamera
Wakienda personal, hawamwezi kbs Gwajima, tena asbh mapema wanalala goal kama za Bayern
Nukuu za kamati nadhani umezisikiamwambie jumapili aropoke tena atajua hajui